DC-HAI AWAKABIDHI MAJUKUMU VIONGOZI WA VIJIJI MBELE YA WANANCHI
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akiwaonyesha wananchi wa kijiji cha Sanya Stesheni Rejesta ya wakazi kama moja ya vitendea kazi vya wenyeviti wa vitongoji.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akimkabidhi rejesta ya wakazi mmoja ya wenyeviti wa kitongoji katika kijiji cha Sanya Stesheni.
Mmoja ya wazee wa kabila la Wamaasai akimtawaza Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga kwa miongoni mwa viongozi wa jamii hiyo maarufu kama Laigwanan kwa kumkabidhi rungu.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKINANA ATINGA ISIMANI IRINGA AWATAKA VIONGOZI WASIKWEPE MAJUKUMU YAO YA KUWATUMIKIA WANANCHI
10 years ago
GPLKINANA ATINGA ISIMANI IRINGA AWATAKA VIONGOZI WASIKWEPE MAJUKUMU YAO YA KUWATUMIKIA WANANCHI
9 years ago
MichuziUWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA VIJIJI NI DHANA KUU YA KUTATUA KERO ZINAZOWAKABILI WANANCHI WANAO WAONGOZA
“Unakuja kwenye ofisi yangu na kutoa taarifa za ubadhirifu wa mtendaji wa kijiji. Nakuuliza, je umechukua hatua zipi kama kiongozi wa kijiji kabla kuja kwenye ofisi yangu? Unanijibu hapana, hii si sahihi,” Hayo ni maneno ya mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Hashim Mgandilwa, aliyoyatoa wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya wenyeviti wa vijiji, watendaji...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Uvn2v8EsoTU/Xkv4Tfr_4jI/AAAAAAAAIHQ/78ZnBc47oZkR2ggV1rtNEO3E76aLYSbiQCEwYBhgL/s72-c/IMG-20200218-WA0061.jpg)
GAMBO WENYEVITI WA MITAA VIJIJI TEMBEENI KIFUA MBELE KWA KUJIAMINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Uvn2v8EsoTU/Xkv4Tfr_4jI/AAAAAAAAIHQ/78ZnBc47oZkR2ggV1rtNEO3E76aLYSbiQCEwYBhgL/s640/IMG-20200218-WA0061.jpg)
Aidha Mkoa wa Arusha unaweza kudhibiti vitendo vya kiuhalifu kwa raia iwapo viongozi kuanzia ngazi ya mtaa wataweza kuwajibika kwa nafasi zao kutekeleza majukumu ya kulinda usalama wa maeneo yao kwa kufichua wahalifu na vitendo vya kihalifu.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo...
9 years ago
Habarileo21 Aug
Viongozi wapya waanza kubebeshwa majukumu
MTANDAO wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (Mjumita), umeomba viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu kuwa na dhamira ya kweli ya kukabili na kuhimili mabadiliko ya tabia nchi.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FHftLjNrwr0/VoDGcjsmvAI/AAAAAAAAXsM/HBc1Pr1X-MA/s72-c/N%252C%252C.bmp)
VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI WAFURAHIA MAFUNZO YA URAGHABISHI
![](http://1.bp.blogspot.com/-FHftLjNrwr0/VoDGcjsmvAI/AAAAAAAAXsM/HBc1Pr1X-MA/s640/N%252C%252C.bmp)
Na Krantz Mwantepele
“Unakuja kwenye ofisi yangu na kutoa taarifa za ubadhirifu wa mtendaji wa kijiji. Nakuuliza, je umechukua hatua zipi kama kiongozi wa kijiji kabla kuja kwenye ofisi yangu? Unanijibu hapana, hii si sahihi,”
Hayo ni maneno ya mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Hashim Mgandilwa, aliyoyatoa wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya...
10 years ago
StarTV18 Feb
Wananchi wa Mtwara vijiji wamlilia Simbachawene.
Na Joseph Mpangala,
Mtwara.
Wakazi wanaoishi kandokando ya visima vya kuchimba na kuchakata nishati ya Gesi eneo la ziwani mkoani Mtwara wameilalamikia Serikali kwa kukosekana kwa umeme katika vijiji vyao ingawa nishati hiyo inachimbwa miongoni mwa vijiji hivyo.
viagra patent expiration in south koreaWakazi hao wamelalamikia hali hiyo mbele ya Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene wakati akifanya ziara yake katika kiwanda cha kuchakata Gesi kilichopo Mnazi bay kutokana na...
10 years ago
Michuzi03 Mar
CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe
![](https://3.bp.blogspot.com/-C0hrD70_tH8/VPROrVS30TI/AAAAAAADQM8/u5GW31g2XY0/s1600/red%2Bbrigade2.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-5MF9SQCARvw/VPROrEsFwPI/AAAAAAADQM4/lo1kQV44FSI/s1600/Lwakatare.jpg)
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Maige: Wananchi walifukiwa wakiwa hai mgodi wa Bulyanhulu
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10