Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wa Mtwara vijiji wamlilia Simbachawene.

Na Joseph Mpangala,

Mtwara.

 

Wakazi wanaoishi kandokando ya visima vya kuchimba na kuchakata nishati ya Gesi eneo la ziwani mkoani Mtwara wameilalamikia Serikali kwa kukosekana kwa umeme katika vijiji vyao ingawa nishati hiyo inachimbwa miongoni mwa vijiji hivyo.

viagra patent expiration in south korea

Wakazi hao wamelalamikia hali hiyo mbele ya Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene wakati akifanya ziara yake katika kiwanda cha kuchakata Gesi kilichopo Mnazi bay kutokana na...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wana-CCM Mtwara wamlilia Makunda

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara kimeelezea kusikitishwa kwake na kifo cha aliyekuwa Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Rowland Makunda kilichotokea katika Hospitali Kuu ya Jeshi hilo Lugalo, Dar es Salaam Oktoba 16 mwaka huu na kuzikwa mjini Masasi.

 

10 years ago

Michuzi

DC-HAI AWAKABIDHI MAJUKUMU VIONGOZI WA VIJIJI MBELE YA WANANCHI

Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akiwaonyesha wananchi wa kijiji cha Sanya Stesheni Rejesta ya wakazi kama moja ya vitendea kazi vya wenyeviti wa vitongoji.Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akimkabidhi rejesta ya wakazi mmoja ya wenyeviti wa kitongoji katika kijiji cha Sanya Stesheni.Mmoja ya wazee wa kabila la Wamaasai akimtawaza Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga kwa miongoni mwa viongozi wa jamii hiyo maarufu kama Laigwanan kwa kumkabidhi rungu.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA VIJIJI NI DHANA KUU YA KUTATUA KERO ZINAZOWAKABILI WANANCHI WANAO WAONGOZA

Baadhi ya wenyeviti toka Halmashauri ya wilaya ya Kishapu wakimsikiliza mkufunzi (hayupo pichani) wakati wa mafunzo yao yaliyofanyika wilayani hapo. 
“Unakuja kwenye ofisi yangu na kutoa taarifa za ubadhirifu wa mtendaji wa kijiji. Nakuuliza, je umechukua hatua zipi kama kiongozi wa kijiji kabla kuja kwenye ofisi yangu? Unanijibu hapana, hii si sahihi,” Hayo ni maneno ya mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Hashim Mgandilwa, aliyoyatoa wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya wenyeviti wa vijiji, watendaji...

 

5 years ago

Michuzi

MWILI WA BABA MZAZI WA GEORGE SIMBACHAWENE , MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE WAZIKWA KIJIJINI PWAGA, JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya Baba Mzazi wa waziri huyo Marehemu Boniface Simbachawene wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU AFANYA ZIARA KATIKA VIJIJI VINAVYOZUNGUKA HIFADHI YA RUAHA KUTATUA MIGOGORO YA WANANCHI NA WAWEKEZAJI

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kuhusu eneo la hifadhi  lililoombwa kwa ajili ya upanuzi wa manispaa ya Iringa wakati wa ziara ya waziri wa maliasili na utalii mkoani Iringa leo. (Picha zote na Loveness Bernard)Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu  akifafanua jambo katika mkutano wa kutatua mgogoro kati ya wawekezaji na wananchi wanaozunguka hifadhi ya Ruaha (mbomipa). Katikati...

 

10 years ago

StarTV

Wananchi Mtwara Vijijini wamtupia lawama Mbunge wao.

Na Joseph Mpangali,

Mtwara.

 

 

Wakazi wa Mtwara Vijijini wameilalamikia Serikali kwa kushindwa kutekeleza ahadi ya kupeleka mtandao wa mawasiliano ya Simu kwa kipindi kirefu sasa.

 

 

Hali hiyo inadaiwa kuwalazimu wakazi hao kutumia simu kama kifaa cha kusikilizia muziki.

 

Licha ya Rais Jakaya Kikwete kufanya ziara wilaya Mtwara na kutoa maagizo ya kufuatilia kwa Mbunge wa jimbo hilo ambaye ni Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Hawa Ghasia lakini mpaka sasa hakuna...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MTWARA WAHIMIZWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU HURIA TANZANIA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Hawa GHASIA akiwahutubia Viongozi wa mkoa wa Mtwara pamoja na wananchi wa mkoa wa Mtwara walio shiriki katika uzinduzi wa majengo ya tawi la Chuo kikuu huria Tanzania kushoto kwa waziri ni Makamu wa chuo kikuu huria Tanzania Profesa Tolly Mbwete kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego Waziri Hawa Ghasia alimuakilisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika uzinduzi wa majengo ya tawi la chuo kikuu huria...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WENGI WAJITOKEZA ZOEZI LA USAJILI NA UTAMBUZI WA WATU MKOANI MTWARA

Zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa limeendelea mkoani Mtwara, ambapo wananchi wamejitokeza kwa wingi kujisajili, kama wakazi hawa wa Wilaya za Tandahimba na Newala walivyokutwa wakishiriki kikamilifu kujisajili.
Moja ya changamoto kubwa iliyojitokeza ni wakazi wengi hususani maeneo ya vijijini kukosa mashine za photocopy, huku baadhi wakikosa nyaraka muhimu za kuwatambulisha. Changamoto nyingine ni waombaji wengi kutokuwa na taarifa sahihi za umri wao binafsi na wazazi huku...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU POLISI KUKAMATA WANANCHI, BODABODA BILA KUFUATA UTARATIBU, AAGIZA KILA OPERESHENI MKUU WA WILAYA APEWE TAARIFA, ASISITIZA UCHAGUZI MKUU WA HURU NA HAKI 2020

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Kikoa cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, wakati alipofika Wilayani humo kwa ziara ya kikazi. Simbachawene amepiga marufuku ukamataji wa wananchi, bodaboda pamoja na kufanya operesheni ya aina yoyote kwa kukurupuka bila kufuata utaratibu, hali inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani badala ya kujenga amani.. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani