Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wana-CCM Mtwara wamlilia Makunda

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara kimeelezea kusikitishwa kwake na kifo cha aliyekuwa Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Rowland Makunda kilichotokea katika Hospitali Kuu ya Jeshi hilo Lugalo, Dar es Salaam Oktoba 16 mwaka huu na kuzikwa mjini Masasi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI AWASHUKURU WANA CCM WA MTWARA KWA KUMDHAMINI,WAMUHAKIKISHIA USHINDI WA KISHINDO

  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama na wafuasi wa CCM mkoa wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kumpokea,Dkt Magufuli aliwashukuru wanachama hao kwa kujitokeza kwa wingi na walimuahakikishia ushindi wa kishindo na wa mapema katika uchaguzi mkuu utakaofanyika hapo baadae mwaka huu,pia amewata kuwa na umoja wa kushirikiana na kuweka kando tofauti zao kuhakikisha wanailetea CCM ushindi wa kishindo. Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini Husnain Murji akiwahutubia...

 

10 years ago

StarTV

Wananchi wa Mtwara vijiji wamlilia Simbachawene.

Na Joseph Mpangala,

Mtwara.

 

Wakazi wanaoishi kandokando ya visima vya kuchimba na kuchakata nishati ya Gesi eneo la ziwani mkoani Mtwara wameilalamikia Serikali kwa kukosekana kwa umeme katika vijiji vyao ingawa nishati hiyo inachimbwa miongoni mwa vijiji hivyo.

viagra patent expiration in south korea

Wakazi hao wamelalamikia hali hiyo mbele ya Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene wakati akifanya ziara yake katika kiwanda cha kuchakata Gesi kilichopo Mnazi bay kutokana na...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WAMLILIA BABA WA FM ACADEMIA "WANA NGWASUMA" MAREHEMU MARTIN KASYANJU MSIBANI OYSTERBAY, DAR ES SALAAM LEO



KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA FAMILIA YA MAREHEMU MARTIN KASYANJU YANATARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA IJUMAA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM. HII NI KURUHUSU WATOTO NA NDUGU WA MAREHEMU WALIO NJE YA NCHI NA MIKOANI WAWAHI MAZISHI. MAREHEMU KASYANJU, AMBAYE ALIKUWA MMILIKI WA BENDI MAARUFU YA FM ACADEMIA WANA NGWASUMA, ALIFARIKI JANA JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MFUPI. MSIBA UKO NYUMBANI KWA MAREHEMU OYSTERBAY JIRANI NA HOTELI YA COLOSSEUM JIJINI DAR ES SALAAM. RATIBA...

 

10 years ago

Vijimambo

Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?


Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

 

11 years ago

Michuzi

TASAF YANUFAISHA WANA-MTWARA

 Na Hassan Simba, Mtwara  IMEELEZWA kuwa kufikishwa kwa elimu juu ya mpango wa kunusuru kaya masikini unaoendeshwa na mfuko wa maendeleo ya jamii nchini tasaf awamu ya tatu, ndio chachu ya mafanikio ya mpango huo yaliyokwishaanza kuonekana kwa jamii ya wakazi wa Mtwara.  Hayo yameelezwa na mkurugenzi mtendaji wa mfuko huo Bw. Ladislaus Mwamanga, alipokuwa anaongea na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mtwara Idd Mshili, ofini kwake alikokwenda kumtembelea kabla ya kwenda...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanawake wamlilia maji mgombea mwenza wa CCM

Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akinamama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido.

Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akinamama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido.

Wakinamama wilayani Longido wakiendelea kuteka maji kwa zamu baada ya kumaliza kumueleza kero zao Bi. Samia Suluhu aliepita maeneo hayo.

Wakinamama wilayani Longido wakiendelea kuteka maji kwa zamu baada ya kumaliza kumueleza kero zao Bi. Samia Suluhu aliepita maeneo hayo.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Monduli wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Monduli wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Monduli wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la...

 

9 years ago

Michuzi

Wanawake wa Longido Wamlilia Maji Mgombea Mwenza wa CCM

Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akinamama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido.
 Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akinamama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido.Wakinamama wilayani Longido wakiendelea kuteka maji kwa zamu baada ya kumaliza kumueleza kero zao Bi. Samia Suluhu aliepita maeneo hayo. Wakinamama wilayani Longido wakiendelea kuteka maji kwa zamu baada ya kumaliza kumueleza kero zao Bi. Samia Suluhu aliepita maeneo hayo.Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Monduli wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Monduli wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu.Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Monduli wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu.Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Monduli...

 

9 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani