Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASAF YANUFAISHA WANA-MTWARA

 Na Hassan Simba, Mtwara  IMEELEZWA kuwa kufikishwa kwa elimu juu ya mpango wa kunusuru kaya masikini unaoendeshwa na mfuko wa maendeleo ya jamii nchini tasaf awamu ya tatu, ndio chachu ya mafanikio ya mpango huo yaliyokwishaanza kuonekana kwa jamii ya wakazi wa Mtwara.  Hayo yameelezwa na mkurugenzi mtendaji wa mfuko huo Bw. Ladislaus Mwamanga, alipokuwa anaongea na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mtwara Idd Mshili, ofini kwake alikokwenda kumtembelea kabla ya kwenda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASAF YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI WA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

 Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF unaendelea kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari ili waweze  kutumia vyombo vya habari vilivyoko kwenye maeneo yao kutangaza habari za Mpango wa kunusuru kaya masikini unaoratibiwa naMfuko huo.
Akifungua mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa utaratibu wa Kikao Kazi Mkurugenzi Mtendajiwa TASAF Bwana Ladislaus Mwamanga amesema kazi ya kutokomeza umaskini nchini inahitaji ushiriki wa wadau mbalimbali vikiwemo vyombo vya habari.
Bwana Mwamanga amesema tangu TASAF...

 

10 years ago

Habarileo

Wana-CCM Mtwara wamlilia Makunda

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara kimeelezea kusikitishwa kwake na kifo cha aliyekuwa Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Rowland Makunda kilichotokea katika Hospitali Kuu ya Jeshi hilo Lugalo, Dar es Salaam Oktoba 16 mwaka huu na kuzikwa mjini Masasi.

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI AWASHUKURU WANA CCM WA MTWARA KWA KUMDHAMINI,WAMUHAKIKISHIA USHINDI WA KISHINDO

  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama na wafuasi wa CCM mkoa wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kumpokea,Dkt Magufuli aliwashukuru wanachama hao kwa kujitokeza kwa wingi na walimuahakikishia ushindi wa kishindo na wa mapema katika uchaguzi mkuu utakaofanyika hapo baadae mwaka huu,pia amewata kuwa na umoja wa kushirikiana na kuweka kando tofauti zao kuhakikisha wanailetea CCM ushindi wa kishindo. Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini Husnain Murji akiwahutubia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mucoba yanufaisha 33,000

BENKI ya Wananchi Mufindi (Mucoba), yenye makao makuu wilayani Mufindi mkoani hapa, imewanufaisha zaidi ya wanachama 33,000 kwa kuwapa mikopo yenye thamani ya sh bilioni 10 kwa lengo la kuanzisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHIF yanufaisha 600 Arusha

ZAIDI ya watu 600 wamenufaika na huduma za upimaji afya bure zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Maendeleo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Solar yanufaisha wanawake Unguja

Mradi wa Solar wawanufaisha kiuchumi wanawake wa Unguja, nchini Tanzania

 

11 years ago

Dewji Blog

Miradi ya MCA-T yanufaisha Serikali ya Muungano

PICHA ZA KUKABIDHI VIFAA 3 - 1

Waziri Fedha na Uchumi, Saada Mkuya.

Na Mwandishi wetu- Hazina

Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanatokana na rasilimali zilizopo katika nchi husika na mipango madhubuti iliyojiwekea.

Serikali imeanzisha sera za uchumi na programu za maendeleo kwa lengo la kuwawezesha watu na kukuza  uchumi nchini.

Sera hizo pamoja na mikakati  mbalimbali ilitungwa kwa lengo la kuwawezesha kiuchumi Watanzania  ili wamiliki, waendeshe na wanufaike na uchumi  wao kufuatia Dira ya Maendeleo iliyojiwekea ya...

 

10 years ago

Habarileo

Miradi mipya ya maji yanufaisha maelfu

WAKAZI wapatao 13,700 katika mikoa ya Pwani na Morogoro wameanza kufaidika na miradi mipya ya maji iliyozinduliwa jana.

 

10 years ago

Michuzi

Huduma ya Simu Dokta yanufaisha maelfu ya watanzania


Idadi ya wanaojiunga nayo yazidi kuongezeka

Kulwa Saiduni wa Bombo,mkoani Tanga ni miongoni mwa maelfu ya watanzania wanaoweza kupata taarifa zinazohusu afya katika hali ya utulivu wakiwa majumbani mwao.Hii inatokana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuanzisha huduma ya Simu Dokta ambayo inawawezesha wateja wake waliojiunga na huduma hii kupata taarifa za afya kupitia simu zao za mkononi.
Hii huduma ni ya aina yake kuanzishwa nchini Tanzania ikiwa inatolewa na Vodacom.Inashirikisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani