Miradi ya MCA-T yanufaisha Serikali ya Muungano
Waziri Fedha na Uchumi, Saada Mkuya.
Na Mwandishi wetu- Hazina
Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanatokana na rasilimali zilizopo katika nchi husika na mipango madhubuti iliyojiwekea.
Serikali imeanzisha sera za uchumi na programu za maendeleo kwa lengo la kuwawezesha watu na kukuza uchumi nchini.
Sera hizo pamoja na mikakati mbalimbali ilitungwa kwa lengo la kuwawezesha kiuchumi Watanzania ili wamiliki, waendeshe na wanufaike na uchumi wao kufuatia Dira ya Maendeleo iliyojiwekea ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo14 Aug
Miradi mipya ya maji yanufaisha maelfu
WAKAZI wapatao 13,700 katika mikoa ya Pwani na Morogoro wameanza kufaidika na miradi mipya ya maji iliyozinduliwa jana.
11 years ago
TheCitizen24 Mar
International Treaties must get Parliament nod, says MCA
10 years ago
TheCitizen14 Sep
MCA criticises ‘unsubstantial’ reporting scam
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Mucoba yanufaisha 33,000
BENKI ya Wananchi Mufindi (Mucoba), yenye makao makuu wilayani Mufindi mkoani hapa, imewanufaisha zaidi ya wanachama 33,000 kwa kuwapa mikopo yenye thamani ya sh bilioni 10 kwa lengo la kuanzisha...
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Serikali haifadhili miradi ya mazingira
OFISI ya Makamu wa Rais imesema haina fedha za kuwasaidia vijana katika miradi ya kuhifadhi mazingira. Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitanga alisema...
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Solar yanufaisha wanawake Unguja
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
NHIF yanufaisha 600 Arusha
ZAIDI ya watu 600 wamenufaika na huduma za upimaji afya bure zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Maendeleo...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-dFh3lN2BgIA/Uvu0lRE_hOI/AAAAAAAFMp8/N8cQKtWfbw4/s72-c/ta1.jpg)
TASAF YANUFAISHA WANA-MTWARA
11 years ago
Habarileo07 Jun
Serikali kumalizia miradi ya ujenzi wa shule
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema itaendelea na kutekeleza sera ya elimu ya kusaidia na kumaliza ujenzi wa majengo ya miradi ya shule zinazojengwa na wananchi au taasisi.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10