Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC kuwasaka waliokacha masomo kukimbilia ndoa

MKUU wa Wilaya (DC) ya Mpanda, Paza Mwamlima, amewaagiza wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mpanda Ndogo iliyoko Tarafa ya Kabungu,  wilayani Mpanda  kuhakikisha watoto wao  walioacha shule na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASOMO YAKWAMISHA NDOA YA SHIJA

Stori: Shani Ramadhani
Msanii wa filamu, Deogratias Shija ‘Shija’ ameeleza kuwa, mpaka sana angekuwa ameshafunga ndoa ila kinachokwamisha mambo ni mchumba wake anayemalizia masomo. Msanii wa filamu, Deogratias Shija ‘Shija’. Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Shija alisema anajua baadhi ya mashabiki na marafiki zake wanashangaa kuona kimya kuhusiana na suala la yeye kufunga ndoa ila akasema, wavute...

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi ‘waliokacha’ JKT kusakwa

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein MwinyiWAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amesema vijana wote waliohitimu kidato cha sita mwaka 2013/14, 2014/15 na kutojiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) bila ridhaa ya jeshi hilo, wanaendelea kusakwa na kuorodheshwa kwenye orodha ya watoro na upo uwezekano wa wao kwenda mafunzo hayo mapema mwezi ujao.

 

9 years ago

GPL

RIYAMA KUWASAKA WANAOMTUMIA

Msanii wa filamu Bongo Riyama Ally. MAYASA MARIWATA MSANII wa filamu Bongo Riyama Ally amesema baadhi ya wasanii wanaomhitaji na kucheza nao filamu, huuza baadhi ya vipande vya filamu anazocheza bila idhini yake, jambo alilodai hakubali kwani atawasaka na kuwashikisha adabu. Akizungumza na mwandishi wetu, alisema baadhi ya watu wamekuwa wakitumia kava lenye picha yake kuuza filamu ambazo anakuwa hajacheza, isipokuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

JWTZ kuwasaka wanaowapakazia

>Jeshi la Ulinzi la  Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema litafuatilia mitandao ya watu wanaolipaka matope na kuwachukulia hatua kali.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi kuwasaka wanaojiuza

Polisi mkoani hapa wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu kwa biashara hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kalapina, Mwakalebela kukimbilia mahakamani

Waliokuwa wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini hivi karibuni, Frederick Mwakalebela (Iringa Mjini-CCM) na Karama Masoud ‘Kalapina’ (Kinondoni ACT- Wazalendo) wamesema wanatarajia kwenda mahakamani kupinga matokeo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani Kuwasaka Wauaji wa Forley

Ingawa waislam wenye msimamo mkali wametoa mkwara kwa Marekani endapo itazisha mashambulizi dhidi yao! basi watarajie msiba mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Wafichua siri ya kukimbilia Tanzania

>Hali ngumu ya maisha ndiyo inayowafanya baadhi ya wananchi kutoka nchi jirani kukimbilia Tanzania kwa lengo la kutafuta kazi na maisha mazuri, imeelezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani