JWTZ kuwasaka wanaowapakazia
>Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema litafuatilia mitandao ya watu wanaolipaka matope na kuwachukulia hatua kali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLRIYAMA KUWASAKA WANAOMTUMIA
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Polisi kuwasaka wanaojiuza
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
Marekani Kuwasaka Wauaji wa Forley
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
TBS kuwasaka waingizaji wa nguo za ndani
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) litafanya operesheni ya kuwasaka wale wote wanaoingiza nguo za ndani za mitumba nchini. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jana, Ofisa Mahusiano wa TBS, Roida Andusamile,...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
DC kuwasaka waliokacha masomo kukimbilia ndoa
MKUU wa Wilaya (DC) ya Mpanda, Paza Mwamlima, amewaagiza wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mpanda Ndogo iliyoko Tarafa ya Kabungu, wilayani Mpanda kuhakikisha watoto wao walioacha shule na...
11 years ago
Mwananchi23 Jun
MAADILI: Polisi kuwasaka wacheza ngoma ya ‘kigodoro’
10 years ago
Vijimambo19 Mar
Mbunge aitaka serikali iongeze kasi kuwasaka wauaji wa albino.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Al-19March2015.jpg)
Alitoa ahadi hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kazi za Jamii iliyofanyika katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Profesa Hubert Hairuki (HKMU) jijini Dar es Salaam jana.
Alisema ipo haja ya kuweka sheria kali hata ikibidi wauaji wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Sj09-qrD7BU/VNaXoDCCQqI/AAAAAAAHCZc/_0ncjSwbsD8/s72-c/248.jpg)
SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII LAANZA MCHAKATO WA KUWASAKA WENYE VIPAJI VYA MPIRA WA MIGUU.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Sj09-qrD7BU/VNaXoDCCQqI/AAAAAAAHCZc/_0ncjSwbsD8/s1600/248.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 Jan
Madiwani Iramba wataka Jeshi la Polisi kuwasaka waliofanya jaribio la kumuua DED kwa bomu
Katibu wa madiwani wa CCM wilaya ya Iramba na diwani wa kata ya Urughu, Simon Tyosela, akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamko lao la kulaani vikali jaribio la kutaka kumuawa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Iramba, Halima Mpita Januari 2 mwaka huu saa 1.15 asubui akiwa nyumbani kwake.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Iramba mkoa wa Singida,wamelaani vikali jaribio la kutaka kumuawa kwa bomu mkurugenzi...