SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII LAANZA MCHAKATO WA KUWASAKA WENYE VIPAJI VYA MPIRA WA MIGUU.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Sj09-qrD7BU/VNaXoDCCQqI/AAAAAAAHCZc/_0ncjSwbsD8/s72-c/248.jpg)
Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 26/01/2015 Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lilisaini mkataba maalum na timu ya Real Madrid ya Nchini Hispania ya kuanzisha na kuendesha kituo cha michezo (NSSF- REAL MADRID Sports Academy) kwa lengo la kuibua, kuendeleza na kukuza vipaji kwa mpira wa miguu. Shirika la NSSF litajenga kituo hicho katika eneo la Mwasonga Kigamboni nje kidogo ya mji wa Dar es Salaam na wataalamu kutoka timu ya Real Madrid watatoa mafunzo kwa vijana wa umri wa miaka13...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wUAKMSBUeN4/VJGaJiViWXI/AAAAAAAG38Y/_mbEk-dvtSw/s72-c/IMG-20140209-WA0009.jpg)
MAONYESHO YA KWANZA YA KIMATAIFA YA VIPAJI MPIRA WA MIGUU KWA VIJANA WALIOKO SHULENI NA VYUONI, TANZANIA DESEMBA 19 — 21 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-wUAKMSBUeN4/VJGaJiViWXI/AAAAAAAG38Y/_mbEk-dvtSw/s1600/IMG-20140209-WA0009.jpg)
Maonyesho haya ni nafasi dhahiri kwa vijana wenye vipaji vya kusakata mpira wa miguu, wavulana kwa wasichana, kucheza soka nchini Marekani huku wakisoma katika vyuo vya nchini humo kwa kulipiwa gharama zote....
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bG3N9aSgYVQ/Uv3pXtQxqmI/AAAAAAAFNJI/pgWzcj35flU/s72-c/photo-1.jpg)
MAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-bG3N9aSgYVQ/Uv3pXtQxqmI/AAAAAAAFNJI/pgWzcj35flU/s1600/photo-1.jpg)
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Hifadhi za Taifa kuanzisha shirika la ndege
Patricia Kimelemeta na Grace Shitundu
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa miezi mitatu kwa Msajili wa Hazina kuratibu na kusimamia uanzishwaji wa shirika jipya la ndege litakaloendeshwa na mamlaka za hifadhi za taifa ili kutoa huduma kwa abiria na watalii.
Mamlaka hizo ni Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Akizungumza na wadau katika kikao cha majadiliano kilichofanyika jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe, alisema...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-zRQVTdxaVjI/XtHp8f44s-I/AAAAAAALsDs/nL46_qbocM0vb8-oEV42CerXJBA6UXpKwCLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
WENYE VIPAJI VYA UCHORAJI WAJITOKEZE
![](https://1.bp.blogspot.com/-zRQVTdxaVjI/XtHp8f44s-I/AAAAAAALsDs/nL46_qbocM0vb8-oEV42CerXJBA6UXpKwCLcBGAsYHQ/s400/unnamed.jpg)
NA DENIS MLOWE,IRINGA
VIJANA wenye vipaji vya kuchora mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye mradi mpya wa uchoraji uliopewa jina la The Streets of Iringa Krafts wenye nia kuibua na kuendeleza vipaji vya uchoraji na kuzalisha ajira zaidi.
Wito huo umetolewa na mdau wa maendeleo, Ahmed Salim Abri kwa lengo la kuwawezesha vijana kutumia kipaji cha uchoraji katika kukuza ajira mkoani hapa ikiwa ni sehemu ya moja ya mikakati ya kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano ya...
9 years ago
Michuzi02 Nov
SHINDANO KUBWA LA KUSAKA VIPAJI VYA KUCHEZEA MPIRA 'FREESTYLE FOOTBALL CHAMPIONSHIP' KUANZA HIVI KARIBUNI
![IMG_20151022_190217](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/11/IMG_20151022_190217.jpg)
Tanzania Freestyle football championship (TFFC2016) ambalo ni shindano la kutafuta/kusaka vipaji vya kuchezea mpira yaani freestyle soccer/Freestyle Football wengi hupenda kuita hivyo ambalo linatarajiwa kuendeshwa kama vile mashindano mengine ya kutafuta vipaji kwa njia mbalimbali ikiwemo ile ya TV show.Waweza wasiliana nao kupitia anuani hapa +255 654 955 825/ +255 655 049 647
![IMG_20151010_014924](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/11/IMG_20151010_014924.jpg)
![IMG_20151010_022504](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/11/IMG_20151010_022504.jpg)
10 years ago
MichuziBODI YA KAHAWA(TCB) NA SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA(TANAPA) WAIBUKA NA TUZO ZA PPF
9 years ago
Mtanzania31 Aug
Lollipop: Nasaidia wenye vipaji vya kuimba
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MTAYARISHAJI wa muziki anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Bongo Fleva nchini, Goodluck Gozbert maarufu kwa jina la Lollipop, amejitokeza kusaidia wasanii wenye vipaji na uwezo wa kuimba lakini hawana fedha za kurekodia kazi zao.
Lollipop aliyejipatia sifa kupitia wimbo wa ‘Basi Nenda’ wa Mo Music, aliliambia MTANZANIA kwamba, wenye uwezo wapo wengi lakini wanashindwa kurekodi kwa kuwa hawana fedha za kurekodia ndiyo maana amechukua jukumu la kuwasaidia ili aibue...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-2Jhx8l-1L1E/Xm2-F73IsMI/AAAAAAALjsk/aCqIdWSGq_QCuckT4BegeSwtJsBTBXmHACLcBGAsYHQ/s72-c/a3d9931f-b021-490e-ba1f-4e3e9397d96c.jpg)
WAZIRI WA MADINI ALITAKA SHIRIKA LA MAENDELEO LA TAIFA (NDC) KUVITAMBUA VIPAJI NA UWEZO WAANZILISHI WA VIWANDA ILI KUWAJENGEA UWEZO
Biteko ameyasema hayo alipotembelea kiwanda kidogo cha kulainisha chuma kilichopo katika kata ya Lubonde wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kinachomilikiwa na Bw. Reuben Mtitu (Mzee Kisangani) na kuona uwezo wake katika...
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Mchakato wa Vitambulisho vya Taifa uboreshwe