Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONYESHO YA KWANZA YA KIMATAIFA YA VIPAJI MPIRA WA MIGUU KWA VIJANA WALIOKO SHULENI NA VYUONI, TANZANIA DESEMBA 19 — 21 2014

Tunayo furaha kukujulisheni kuwa taasisi ya Boko Beach Veterans Sports Club (BBV) itaandaa maonyesho ya kimataifa ya vipaji vya mpira wa miguu kwa vijana wa mashuleni na vyuoni, kuanzia tarehe 19 had 21 kwenye uwanja wao wa kisasa ulioko maeneo ya Boko, Kinondoni , Dar es salaam.  
Maonyesho haya ni nafasi dhahiri kwa vijana wenye vipaji vya kusakata mpira wa miguu, wavulana kwa wasichana, kucheza soka nchini Marekani huku wakisoma katika vyuo vya nchini humo kwa kulipiwa gharama zote....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKABIDHI TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELGIJI JEZI ZA MPIRA WA MIGUU

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu za mpira wa miguu za vijana wa Tanzania Ubelgiji baada ya kuwakabidhi jezi za mpira wa miguu. Balozi Kamala amewashukuru vijana hao kutangaza Tanzania vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano miongoni mwao.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKABIDHI JEZI ZA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi  wa timu za mpira wa miguu za vijana wa Tanzania  Ubeligiji baada ya kuwakabidhi jezi za mpira wa miguu. Balozi Kamala amewashukuru vijana hao kutangaza Tanzania vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano miongoni mwao.

 

5 years ago

CCM Blog

TANZANIA YASHIRIKI KWA MARA YA KWANZA KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO YA PARIS 2020, UFARANSA


 Tanzania inashiriki kwa mara ya kwanza katika Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Kilimo ya Paris 2020 yanayofanyika jijini Paris, Ufaransa kuanzia tarehe 22 Februari 2020 hadi tarehe 1 Machi 2020.
Maonesho hayo ambayo yalifunguliwa na Mhe. Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, yanatarajiwa kutembelewa na zaidi ya watu 600,000.
Wakati wa maonesho hayo, Tanzania itapata fursa ya kuonyesha bidhaa zake yakiwemo mazao ya kimkakati. Ujumbe wa Tanzania katika maonyesho hayo unaongozwa na Bw. Victor...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII LAANZA MCHAKATO WA KUWASAKA WENYE VIPAJI VYA MPIRA WA MIGUU.

Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 26/01/2015 Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lilisaini mkataba maalum na timu ya Real Madrid ya Nchini  Hispania ya kuanzisha na kuendesha kituo cha michezo (NSSF- REAL MADRID Sports Academy) kwa lengo la kuibua, kuendeleza na kukuza vipaji kwa mpira wa miguu. Shirika la NSSF litajenga kituo hicho katika eneo la Mwasonga Kigamboni nje kidogo ya mji wa Dar es Salaam na wataalamu kutoka timu ya Real Madrid watatoa mafunzo kwa vijana wa umri wa miaka13...

 

9 years ago

Michuzi

SALAMU ZA MWAKA ZA RAIS WA TFF KWA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA

Ndugu zangu, Kwa niaba ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kupitia kwenu wanahabari ninaomba nitoe salam za mwaka za Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF.
Awali ya yote tumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ametulinda kwa mwaka mzima na kupitia Baraka zake tumeweza kuwa na nguvu, uwezo na hekima za kutimiza majukumu yetu mbalimbali katika kipindi hiki cha mwaka 2015. Tuzidi kumuomba atuvushe salama mwaka 2015.
Ninaomba nichukue fursa hii kuwapongeza Watanzania wenzangu kwa kukamilisha...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

Kocha Jackson Mayanja wa Kagera Sugar amepigwa faini ya sh. 500,000 na kufungiwa mechi tatu kwa kutoa lugha ya kashfa kwa maneno na vitendo kwa waamuzi wa mechi yao na Mtibwa Sugar kuwa walipewa rushwa.

Adhabu dhidi ya Kocha Mayanja kwenye mechi hiyo namba 136 iliyochezwa Aprili 1, 2015 kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 40(1) ya Ligi Kuu.

Klabu ya Mtibwa Sugar imepigwa faini ya sh. 500,000 baada ya timu yake kukataa kuingia vyumbani wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

Leo jumapili tarehe 24, Mei 2015 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF imeketi katika ukumbi uliopo makao makuu ya Shirikisho uwanja wa Karume.
Kamati ya Utendaji imepitia masuala mbalimbali na kutoa maamuzi yafuatayo:
CLUB LICENCING (Leseni za vilabu)Kamati ya Utendaji imeiagiza sekretarieti ivisisitize vilabu vya Ligi Kuu umuhimu wa kukamilisha maombi yao ya ushiriki wa ligi kuu kwa msimu wa 2015/16 kwa kuwasilisha fomu za maombi ya Leseni za vilabu TFF. Klabu ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani