Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi ‘waliokacha’ JKT kusakwa

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein MwinyiWAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amesema vijana wote waliohitimu kidato cha sita mwaka 2013/14, 2014/15 na kutojiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) bila ridhaa ya jeshi hilo, wanaendelea kusakwa na kuorodheshwa kwenye orodha ya watoro na upo uwezekano wa wao kwenda mafunzo hayo mapema mwezi ujao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

DC kuwasaka waliokacha masomo kukimbilia ndoa

MKUU wa Wilaya (DC) ya Mpanda, Paza Mwamlima, amewaagiza wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mpanda Ndogo iliyoko Tarafa ya Kabungu,  wilayani Mpanda  kuhakikisha watoto wao  walioacha shule na...

 

11 years ago

Habarileo

Aliyemuoa mwanafunzi kusakwa

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo ameliagiza Jeshi la Polisi kumsaka na kumfikisha katika vyombo vya sheria mtu anayedaiwa kumrubuni na kumuoa mwanafunzi Veronika Maganga aliyetakiwa kujiunga Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari ya bweni Rugambwa mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji wakaidi Kiteto kusakwa

MKUU wa Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara, Martha Umbula, ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani humo kuwasaka wafugaji wa jamii ya Kimasai waliogoma kuondoka katika hifadhi ya jamii ya Embolei Omurutangos....

 

11 years ago

Mwananchi

Kundi la Mbwa mwitu kusakwa

>Kamanda wa Polisi katika Kanda Maalumu  ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, ametoa muda wa wiki moja kwa makamanda wa Polisi wa mikoa ya kanda hiyo, kushirikiana na wananchi, ili kuwasaka na kuwatia mbaroni vijana wanaojiita ‘mbwa mwitu’ wanaotishia usalama wa watu jijini.

 

9 years ago

Mwananchi

Amani ya Burundi kusakwa Uganda

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajia kuendesha mazungumzo ya kutatua mgogoro nchini Burundi Desemba 27. Mazungumzo hayo pia yamepangwa kufanyika mjini Arusha nchini Tanzania.     

 

10 years ago

Tanzania Daima

Waingizaji sukari ya magendo kusakwa

SERIKALI imetangaza msako mkali kuwanasa waingizaji na wauzaji wa sukari ya magendo iliyoingizwa nchini na kuzagaa kwenye masoko. Pia, maofisa wote wa Mamlaka ya Mapato na ushuru mwingine kwenye bandari...

 

11 years ago

GPL

MISS BONGO MUVI KUSAKWA

Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere. Stori: Hamida Hassan
MWENYEKITI wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’ amesema watafanya shindano la kumsaka mlimbwende wa kundi lao, siku ya sherehe ya kuadhimisha miaka mitatu ya klabu hiyo ambayo itafanyika Machi 28, mwaka huu. Akizungumza na Stori Mix, Nyerere alisema, wana imani ndani ya kundi lao kuna walimbwende wengi hivyo wametoa nafasi ya kuwashindanisha...

 

10 years ago

Habarileo

Watoro kusakwa na kurejeshwa shule

SERIKALI mkoa wa Rukwa imeagiza watoto, waliokatiza masomo yao kwa utoro wasakwe na kurejeshwa shuleni mara moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani