Amani ya Burundi kusakwa Uganda
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajia kuendesha mazungumzo ya kutatua mgogoro nchini Burundi Desemba 27. Mazungumzo hayo pia yamepangwa kufanyika mjini Arusha nchini Tanzania. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Jul
Burundi:Mazungumzo ya amani yakwama
Mazungumzo ya mwisho ya kuzima msukosuko wa kisiasa wa Burundi, yamesimamishwa, siku mbili kabla ya uchaguzi wa rais.
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Kizingiti mazungumzo ya amani Burundi
Mazungumzo kuhusu mzozo wa kisiasa Burundi yamefanyika nchini Uganda, ingawa washiriki wamekosa kuelewana kuhusu siku ya kuanza kwa mazungumzo kamili.
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Wanaharakati waombea amani Burundi
Wanaharakati na Vijana wamekusanyika mjini Nairobi kwa ajili ya mkesha na kuwasha mishumaa kuwakumbuka Raia wa Burundi waliouawa.
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Amani ya Burundi bado haijatengamaa
Hali imezidi kuwa ya wasi wasi nchini Burundi kufuatia Watu watatu kujeruhiwa kwa mabomu matatu kurushwa hadi afisi ya meya ..
10 years ago
BBCSwahili13 May
Mazungumzo ya kutafuta amani Burundi
Marais Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana leo jijini Dar Es Salaam kujadili mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Burundi.
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
AU kutuma walinda amani Burundi
Muungano wa Afrika umetangaza mpango wa kutuma walinda amani nchini Burundi kuzuia machafuko zaidi nchini humo.
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Museveni: Ileteeni amani Burundi
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) haiwezi kukaa kimya huku ikishuhudia raia wa Burundi wakifa bila ya kuwa na hatia.
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
UN yawazia kutuma walinda amani Burundi
Umoja wa Mataifa unatafakari wazo la kutuma walinda amani nchini Burundi iwapo machafuko nchini humo yatazidi na kuwa mapigano ya kimbari.
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Amani ya Burundi ni muhimu kwa Watanzania
Wiki hii Tanzania imeanza mchakato wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa Burundi ulioibuka baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Julai 21 na mgombea wa chama cha CNDD-FDD, Pierre Nkurunziza kutetea kiti chake cha urais.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania