Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC wa Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akamata shehena kubwa ya ngozi ya magendo ikisafirishwa nje

1

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (kushoto) akimhoji dereva wa lori aliyejitambulisha kama Bw. Kabyemela (mwenye tisheti jekundu) baada ya kuwekewa mtego na kukamatwa na shehena ya ngozi ya magendo iliyokuwa ikisafirishwa kuelekea nchi jirani. Shehena hiyo ilikamatwa katika kizuizi cha Kyaka.

2

Baadhi ya ngozi ya magendo iliyokamatwa baada ya Mkuu huyo wa Wilaya kuweka mtego kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama. Shehena hiyo ya ngozi ya magendo inakisiwa kufika uzito...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA MISSENYI MH.FADHIL NKURLU AKAMATA SHEHENA LA NGOZI ZA MAGENDO

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (kushoto) akimhoji dereva wa lori aliyejitambulisha kwa jina la Bw. Kabyemela (mwenye tisheti jekundu) baada ya kuwekewa mtego na kukamatwa na shehena ya ngozi ya magendo iliyokuwa ikisafirishwa kuelekea nchi jirani. Shehena hiyo ilikamatwa katika kizuizi cha Kyaka. Baadhi ya ngozi ya magendo iliyokamatwa baada ya Mkuu huyo wa Wilaya kuweka mtego kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama. Shehena hiyo ya ngozi ya magendo inakisiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC wa Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu awapatia matibabu ya bure walemavu wa ngozi

1

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu.

2

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akimpatia mmoja wa walemavu wa ngozi kadi za afya zitakazowawezesha kupata matibabu bure wao pamoja na wategemezi wao katika vituo vya huduma za afya za serikali na zile binafsi vilivyosajiliwa na mfuko wa afya ya jamii (CHF).

3

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (wa nne kutoka kulia walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi pamoja na viongozi wa dini na serikali za mitaa...

 

10 years ago

Habarileo

Shehena za magendo zakamatwa Sirari

MAOFISA wa Kituo cha Forodha cha Sirari na wenzao wa kodi za ndani wamekamata magari matatu yenye shehena ya mali za magendo, zinazodaiwa kuingizwa nchini kwa njia za panya kutoka Kenya bila kulipiwa ushuru.

 

10 years ago

Habarileo

TBS yazuia shehena 125 kutoka nje

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limezuia shehena 125 zinazotoka nje ya nchi zisiingizwe sokoni, kwa sababu ya kutokidhi viwango vya ubora vya kitaifa na kimataifa.

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Saratani ya ngozi aina ya Melanoma ni hatari kiasi gani?

>Tangu tuanze kuichambua mada hii ya maradhi ya saratani ya ngozi, tumeangazia mambo mbalimbali ikiwamo saratani ni nini, aina za saratani, makundi ya watu yanayoathiriwa zaidi na saratani hii ya ngozi.

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Maradhi ya ngozi kwa njia ya ngono

>Baadhi ya maswali tuliyopokea, mengi yalihusu maradhi ya sunzua ambayo kitaalmu yanajulikana kama warts.

 

9 years ago

Michuzi

ELIMU YA STADI ZA MAISHA KUOKOA KUNDI KUBWA LA VIJANA WALIO NJE YA SHULE

Afisa vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Godfrey Massawe (aliyesimama) akifuatilia majadiliano ya wawezeshaji kitaifa wakati wa kazi za kikundi kwenye Mafunzo ya Uwezeshaji wa Stadi za Maisha yaliyofanyika Kanda ya Ziwa.


Na: Genofeva Matemu - Maelezo

ILIGUNDULIKA kuwa ulimwenguni kote na hususan nchini Tanzania, Vijana walio nje ya shule ni miongoni mwa makundi yaliyo katika hatari ya magonjwa yanayoenea kwa njia ya ngono, VVU na UKIMWI kwa kutokuwa na taarifa na...

 

9 years ago

Bongo5

Nikki Wa Pili: Najipanga kufanya video kubwa ya ‘Baba Swalehe’ na director mkubwa wa nje

Nikk

Baada ya Joh Makini kufanya video mbili (Nusu Nusu na Don’t Bother), na G-Nako kufanya video moja (Original) Afrika Kusini na muongozaji Justin Campos, sasa ni zamu ya Nikki kufanya video na muongozaji huyo ambaye ameonekana kukubalika sana na wasanii wengi wa Bongo wanaomkimbilia kufanya naye kazi kwa sasa.

Nikk

Rapa wa Weusi Nikki Wa Pili ameieleza Bongo5 kuwa anajiandaa kufanya video kubwa ya wimbo wake mpya ‘Baba Swalehe’, na mpango wake ni kufanya na director wa nje.

“Baba Swalehe’...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ukosefu wa huduma za afya za kisasa na uhakika zadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania kufuata huduma hiyo nje ya nchi

CEOsir PIC01

. Ukosefu wa huduma za afya za uhakika na za kisasa zinadaiwa  kuwa sababu kubwa ya watanzania  wengi kufuata huduma hizo nchi za nje.

Hospitali ya Apollo ilikuwa moja ya hospitali za mwanzo kabisa katika bara la Asia, na duniani kwa ujumla kuleta huduma zote za kiafya chini ya paa moja. Na kwa wakati huu, mpango huo kabambe umeifanya hospitali hiyo kufanikiwa katika Nyanja zote za matibabu.

Dr. Prathap C Reddy, muasisi wa huduma za kiafya za kisasa nchini india, alianzisha hospitali ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani