Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC WARYUBA AKABIDHI VIFAA VYA CORONA






……………………………………………………………………..

Mkuu wa wilaya Tandahimba Mhe. Sebastian Waryuba amekabidhi vifaa vya kupambana na ugonjwa wa Covid 19 vinavyosababishwa na virusi Corona.

DC Waryuba amemkabidhi Mganga Mkuu wa wilaya Tandahimba Dk. Antipass Swai vifaa vyenye thamani ya Tsh. Milioni sitini na mbili laki sita na elfu arobaini (62,640,000/=) ambapo amewasihi Wataalamu hao wa afya kuvitunza vifaa hivyo na viwaongezee kasi ya mapambano ya virusi vya Corona na kuisihi jamii kutiana moyo na kuacha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI CCBRT AKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA HOSPITALI, VITUO VYA AFYA 22

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi,  leo hii amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150 kwa hospitali na vituo vya afya 22 katika Manispaa za mkoa wa Dar es Salaam.
Lengo la CCBRT ni kuunga mkono juhudi za Serikali na wadau wengine hapa nchini katika kuwakinga wahudumu wa afya na janga la Corona. 
“Tumekusudia vifaa hivi vitumike katika vitengo vya afya ya uzazi katika hospitali hizo ili kuwakinga wahudumu wa afya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wanafunzi Kenya watengeneza vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona

Virusi vya corona: Wanafunzi wa Kenya wanaotengeneza vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona

 

5 years ago

Michuzi

ROSTAM AKABIDHI VIFAA KUPAMBANA NA CORONA DAR, AWATUMIA UJUMBE WAFANYABISHARA KUISAIDIA SERIKALI


Mwandishi Wetu, Michuzi TV

MFANYABIASHARA  maarufu nchini Rostam Aziz amekabiodhi vifaa mbalimbali vikiwamo vitakasa mikoni na barakoa ili kusaidia mapambano dhidi ya Corona jijini Dar es Salaam.

Rostam amekabidhi msaada huo leo Aprili 16 mwaka 2020 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kwa Waziri Mkuu aliyoitoa wiki iliyopita ya kutoa Sh.bilioni moja kusaidia vifaa hivyo katika daladala za jiji la Dar es Salaam na Zanzibar.

Akizungumza baada ya kukabidhi...

 

5 years ago

CCM Blog

ROSTAM AKABIDHI VIFAA KUPAMBANA NA CORONA DAR, AWATUMIA UJUMBE WAFANYABISHARA KUISAIDIA SERIKALI




Mwandishi Wetu, Michuzi TV

MFANYABIASHARA  maarufu nchini Rostam Aziz amekabiodhi vifaa mbalimbali vikiwamo vitakasa mikoni na barakoa ili kusaidia mapambano dhidi ya Corona jijini Dar es Salaam.

Rostam amekabidhi msaada huo leo Aprili 16 mwaka 2020 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kwa Waziri Mkuu aliyoitoa wiki iliyopita ya kutoa Sh.bilioni moja kusaidia vifaa hivyo katika daladala za jiji la Dar es Salaam na Zanzibar.

Akizungumza baada ya...

 

9 years ago

Habarileo

Makamu wa Rais akabidhi vifaa vya michezo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amekabidhi vifaa vya michezo kwa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki.

 

5 years ago

Michuzi

Vifaa vya tiba vya kujikinga na Corona vya magendo vyanaswa Morocco vikipelekwa Ulaya

Vyombo vya habari vya Morocco vimeripoti kwamba, maafisa wa nchi hiyo wamenasa maelfu ya maski za masuala ya tiba zilizokuwa zikitoroshwa na kupelekwa Ulaya.

Gazeti la al Quds al Arabi linalochapishwa London limeripoti kuwa, raia mmoja wa Uingereza amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Agadir huko kusini magharibi mwa Morocco akijaribu kutorosha maski elfu 16 na kuzipelekea Manchester kwa njia za magendo.

Vilevile maafisa wa forodha wa Morocco wamenasa shehena nyingine iliyokuwa na vifaa vya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona

New York imetoa wito kwa serikali kutuma vifaa zaidi vya kupima virusi vya corona katika jimbo hilo huku visa vya maambukizi vikiongezeka.

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Seif akabidhi vifaa vya ujenzi jimboni

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi vifaa vya ujenzi kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Tawi la Chama cha Mapinduzi Kwa Gube Mfenesini.
Kulia ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa CCM wa Tawi la CCM la Kwa Gube Ndugu Salum Ali Mzee.Balozi Seif akizungumza na Wana CCM wa Tawi la Kwa Gube mara baada ya kukabidhi vifaa kuendeleza ujenzi wa Tawi hilo.
Kushoto yake ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi, Mwenyekiti wa Tawi la CCM Kwa Gube Nd. Sal;im Ali Mzee na kulia ya Balozi Seif ni...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW.SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYA SHILINGI MILIONI 8 MJINI WETE PEMBA

Timu kongwe visiwani Zanzibar Jamhuri ya Wete Pemba iliyoanzishwa mwaka 1954 imepokea vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 8 kutoka kwa Bw.Suleiman Saleh ambaye alimkabidhi mdaada huo mjini Wete Pemba jioni ya Jumanne Oktoba 7 2014 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya Sekondari ya Utaani iliyopo Wete Pemba.
Bw.Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo viatu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani