Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC.DAQARRO AHOJI KUTOMALIZWA KWA ZAHANATI YA BARAA


Mkuu wa wilaya Arusha Fabian Daqarro akipata maelezo ya ujenzi wa Zahanati ya Baraa hali iliyomlazimu kuhoji kusuasua kwa ujenzi wa Zahanati hiyo kama ilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha.
Pichani ni Jengo la Zahanati ya Baraa iliyopo kata ya Baraa jijini Arusha
Msafara ukiwasili kwenye Zahanati ya Baraa
Sehemu ya muonekano wa Jengo lote la Zahanati ya Baraa kama lilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha.


Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro amehoji kusuasua kwa ujenzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Nyerere ahoji adhabu kwa wakurugenzi wazembe

MBUNGE wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (CHADEMA), ameihoji serikali inawachukulia hatua gani wakurugenzi walioshindwa kutenga kiasi cha asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kuwawezesha vijana kama inavyoelekezwa....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ahoji fidia kwa wakazi wa Malolo

MBUNGE wa Mikumi, Abdulsalaam Ameir (CCM). ameitaka serikali kueleza lini itawalipa fidia wananchi wa Kata ya Malolo walioathiriwa mazao yao kutokana na upanuzi wa bomba la mafuta la Kampuni ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom yamwaga vifaa Ligi Kuu Bara 

WADHAMINI wa Ligi Kuu Tanzania bara, Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, jana iligawa vifaa kwa timu 14 zinazoshiriki ligi hiyo itakayoanza Septemba 20, vyoye vikiwa...

 

5 years ago

Michuzi

RC TABORA AAGIZA TAKUKURU SIKONGE KUMKAMATA MGANGA MFAWIDHI WA ZAHANATI YA TUTUO KWA TUHUMA ZA MALIPO KWA KAZI HEWA YA KISIMA

NA TIGANYA VINCENT
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Sikonge kumkamata Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Tutuo Longa Magasha na kuchunguza tuhuma za malipo ya fedha ya milioni moja kwa kazi hewa ya ukarabati wa kisima.
Alisema kiasi hicho cha fedha zilitolewa kupitia fedha ambazo Zahanati hiyo ilipata kutokana na Malipo kwa Ufanisi (RBF) kwa lengo kufanyia ukarabati wa kisima lakini haionyeshia kama kuna kazi...

 

5 years ago

Michuzi

Dc Daqarro awatoa hofu wamachinga kutowaondoa soko lililoungua Samunge

Na Ahmed Mahmoud,ArushaSerikali imewahakikishia wamachinga kuendelea kufanyabiashara kwenye soko la Samunge lililoungua moto na kuwaondolea hofu iliyojengeka kwamba ina mpango wa kuwaondoa katika soko hilo.

Akiongea na maelfu ya wafanyabiashara hao zaidi ya 5000 Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro ameigiza halmashauri ya jiji la Arusha kuhakikisha wanaharakisha kujenga miundombinu ya soko hilo ili kuwapa nafasi wafanyabiashara kuendelea na shughuli zao.
Ameeleza kuwa hakuna mfanyabiashara...

 

11 years ago

Mwananchi

Mifuko ya saruji kujengea zahanati yaganda kwa uzembe

Mifuko ya saruji 125 iliyonunuliwa kwa fedha za Serikali kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kiboriani, Wilaya ya Mpwapwa imeganda baada ya halmashauri kuukataa ushauri wa viongozi wa kijiji hicho.

 

10 years ago

StarTV

Zahanati ya NK mjini Kahama yafungwa kwa ukiukwaji wa kanuni za tiba.

Idara ya Afya ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga imeifunga zahanati ya NK inayomilikiwa na Wakorea pamoja na Wachina kwa kukiuka kanuni za utoaji tiba kwa kutoa dawa zilizomaliza muda wake sanjari na mazingira duni ya utunzani wa dawa.

Mapungufu hayo yamebainika wakati wa ukaguzi wa Zahanati hiyo uliofanywa na idara ya afya mjini Kahama kwa lengo la kudhibiti utoaji wa tiba za binadamu.

Halmashauriya mji wa Kahama  ina vituo 34 vya kutoa huduma za afya kwa binadamu, Hospitali 2, vituo vya...

 

5 years ago

Michuzi

DC.DAQARRO APINGA MACHINGA KUTOZWA FEDHA SOKO LA MADINI ASEMA MAAGIZO YA RAIS YAFUATWE


Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini Gabriel Daqarro akiwa na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt.Maulid Madeni wakiongea na waandishi wa habari ofisini kwake ambapo ametaka wamachinga wasibughuziwe wa kutozwa michango ndani ya Jiji hilo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Pichani ni sehemu ya risiti zisizo za Efds ambazo wamachinga kwenye Soko la madini jijini Arusha wamekuwa wakitozwa kiasi cha tsh.300 kwa siku kupata huduma sokoni humo huku wakiwa na vitambulisho vya machinga
Mkuu wa soko la...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yatakiwa kutimiza ahadi za ujenzi wa zahanati kwa kila kata

DSC_0534

Diwani wa kata ya Ololosokwani na Mkurugenzi wa Irkiramat Foundation (RAMAT) Bw. Yannick Ikayo Ndoinyo akiangalia kitanda cha kujifungulia wakimama kwenye Zahanati ya Sero ambayo kwa siku inatibu wagonjwa 50 na zaidi ikiwa na daktari mmoja huku wakazi wanaofuata huduma hiyo kutoka kata hiyo na ya jirani Soitosambu kutembea umbali mrefu kwa Kilometa 7-15 kupata huduma ya afya.(Picha Zainul Mzige wa MOblog)

Na Mwandishi wetu, Ngorongoro

Wakazi wa vijiji vya Ololosokwan, Soit-Sambu, Njoroi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani