Nyerere ahoji adhabu kwa wakurugenzi wazembe
MBUNGE wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (CHADEMA), ameihoji serikali inawachukulia hatua gani wakurugenzi walioshindwa kutenga kiasi cha asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kuwawezesha vijana kama inavyoelekezwa....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper23 Dec
Hizi ni salamu kwa watendaji wazembe
NA KHADIJA MUSSARAIS Jakaya Kikwete, amesema watendaji watakaozembea katika kutelekeza majukumu yao watashughulikiwa kikamilifu. Amesema watendaji wanapaswa kufahamu kuwa serikali ipo na hukasirishwa pindi mambo yanapokwenda kinyume na matarajio. Pia amesema ameridhishwa na hatua zilizochukuliwa na Waziri wa Tawala na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia, wa kutengua nafasi za wakurugenzi sita, kusimamia wengine na kutoa onyo kali. Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, jana, Rais Kikwete...
9 years ago
StarTV03 Dec
Mbunge wa Bunda kutowavumilia watendaji wazembe katika utoaji wa huduma kwa wananchi
Mbunge wa jimbo la Bunda Boniphace Mwita amesema kuwa hatawavumilia watendaji wa serikali na viongozi wa ngazi mbalimbali jimboni humo ambao watashindwa kwenda na kasi ya rais Magufuli kwani hatakuwa tayari kufanyakazi na watu wazembe.
Mbunge huyo wa Bunda ameyasema hayo kwenye kikao elekezi alichokiandaa katika kata ya Nyamuswa kikishirikisha viongozi wa ngazi mbalimbali na watendaji wote wa serikali, ili kila mmoja atambuwe wajibu wake wa kutumikia wananchi.
Mbunge wa Bunda Boniphace...
5 years ago
Michuzi
DC.DAQARRO AHOJI KUTOMALIZWA KWA ZAHANATI YA BARAA

Mkuu wa wilaya Arusha Fabian Daqarro akipata maelezo ya ujenzi wa Zahanati ya Baraa hali iliyomlazimu kuhoji kusuasua kwa ujenzi wa Zahanati hiyo kama ilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha.

Pichani ni Jengo la Zahanati ya Baraa iliyopo kata ya Baraa jijini Arusha

Msafara ukiwasili kwenye Zahanati ya Baraa

Sehemu ya muonekano wa Jengo lote la Zahanati ya Baraa kama lilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro amehoji kusuasua kwa ujenzi...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Mbunge ahoji fidia kwa wakazi wa Malolo
MBUNGE wa Mikumi, Abdulsalaam Ameir (CCM). ameitaka serikali kueleza lini itawalipa fidia wananchi wa Kata ya Malolo walioathiriwa mazao yao kutokana na upanuzi wa bomba la mafuta la Kampuni ya...
9 years ago
StarTV30 Dec
Serikali kuongeza adhabu kwa wanaovunja sheria kwa kuzidisha mizigo
Serikali inatarajia kuongeza adhabu ya makosa ya uzidishaji mizigo inayosafirishwa kwenye magari kwa njia barabara kuwa kubwa kuliko thamani ya mizigo inayosafirishwa ili kukomesha vitendo vya ukiukaji wa sheria za usafirishaji ambao unasababisha uharibifu wa barabara nchini.
Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano amesema kabla ya kufanya maamuzi hayo, watakaa na wadau wa barabara kuwashirikisha uamuzi huo ili kuzifanya barababra nchini kuwa salama.
Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi...
5 years ago
MichuziJAFO AWAPONGEZA KISARAWE KWA UBUNIFU WA TAMASHA LA MAMA LISHE, ATOA MAAGIZO KWA WAKURUGENZI WOTE
Jafo ametumia nafasi hiyo kuwataka wakurugenzi wa halmashiri zote nchini ambao wataoshindwa kutoa asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya mikopo ya wanawake, walemavu na vijana watachukuliwa hatua ikiwemo ya kutumbuliwa.
Akizungumza...
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
Adhabu kwa mke kwa kumtelekeza mume
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Adhabu kwa vigogo CCM
11 years ago
BBCSwahili28 Jan
Adhabu kali kwa Mchina Kenya