Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Deegbe aliacha kazi Benki na kujiajiri

Makala ya Ndoto ya Afrika inaeleza habari kuhusu Wajasiriamali wanane kutoka maeneo mbalimbali ya Afrika

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mandela aliacha viatu vyake TZ?

Zipo taarifa kwamba kabla ya kufungwa jela, Marehemu Nelson Mandela aliwahi kuishi nchini Tanzania na familia moja ambapo wakati anaondoka aliacha baadhi ya vitu, vikiwemo viatu .

 

9 years ago

Bongo5

Mr Blue aliacha uigizaji baada ya kugundua anapoteza tu muda

Mr Blue amesema aligundua sanaa ya uigizaji wa filamu haulipi kuliko muziki ndio maana aliachana nayo. sasa hivi kaonekani kwenye tasnia hiyo. Blue ambaye alionekana kwenye filamu ya Pretty Teacher na House Boy, ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa, baada ya kuingia kwenye filamu na akagundua hakuna maslahi aliamua kuachana na kazi hiyo. “Nilikuwa najaribu zali […]

 

9 years ago

Michuzi

TPA YASIFU BENKI KUONGEZA MUDA WA KAZI

 Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo Benki Kuu, Bw. Bernard Dadi (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa kutangaza rasmi mabenki kufanya kazi kwa muda wa nyongeza kuwawezesha wateja wa bandari na wadau wengine kufanya malipo hadi saa 2 usiku kwa siku za kazi na saa 8 kwa siku za mwisho wa wiki na sikukuu.  Wengine ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga (wa pili kushoto), Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Uchukuzi, Bw....

 

11 years ago

Mwananchi

Kutana na vijana walioamua kujiajiri

>Watu wengi wanapenda kuwa na maisha bora, wengi wanaishia kuwa na hali duni. Baadhi ya watu wamekuwa wakijiuliza ‘kwa nini ninakuwa na maisha duni’, ingawa jibu lake ni kwamba adui wa kwanza wa maisha yako ni wewe mwenyewe…Kukata tamaa kwako.

 

9 years ago

Habarileo

Wahitimu JKT kuwezeshwa kujiajiri

VIJANA wanaohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kujitolea na kurudi makwao bila kupata ajira, wamewekewa mpango maalumu wa kuwafuatilia na kuwawezesha kujiajiri popote watakapokuwa nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Wahitimu uhasibu wafundwa kujiajiri

WAHITIMU wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wameaswa kutumia mafunzo ya ujasiriamali waliyoyapata chuoni hapo katika kukabiliana na changamoto ya soko la ajira na kuelekeza mawazo yao katika kujiajiri badala ya kuajiriwa.

 

10 years ago

Michuzi

KUJIAJIRI NI FURSA PEKEE YA MAENDELEO

Beatrice Lyimo -Maelezo
Serikali imewashauri wahitimu kujiajiri wenyewe badala ya kutegemea ajira kutoka serikalini kwani inatambua ukosefu wa ajira nchini.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar ea Salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya  Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Willium Lukuvi alipokuwa akifungua kongamano la mafunzo kwa wajasiliamali wadogo wadogo.
Amesema  kuwa vijana wanatakiwa kuweka mkazo katika suala la ujasiriamali na kujihusisha na mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali ili kuwa na fursa...

 

10 years ago

Habarileo

Profesa ahimiza wahitimu kujiajiri

WATANZANIA wametakiwa kuondoa dhana potofu ya kupata elimu na kukaa maofisini tu, badala yake watumie elimu kunufaisha jamii inayowazunguka na kutatua tatizo la ajira nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani