DENTI ABAKWA, APIGWA MIMBA
![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzpNqlYlcbpkUos6fPEk0AecffBMi1OGwdzNOMPT3iLVuojoAs3ABU5HL*PJUXQqmk57kCaLDp46AeEW-NbwCCmz/denti.jpg?width=650)
Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, Mwanza MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika shule ya Bujingwa, iliyopo Nyakato Mwanza (jina linahifadhiwa), mkazi wa Mabatini jijini Mwanza, alibakwa, kutoroshwa nyumbani kwao na hatimaye kupewa mimba na mtu aliyefahamika kwa jina la Roja (27). Denti huyo akiwa na mwanaye. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni jijini Mwanza akiwa hoi kimaisha baada ya kufukuzwa kwa mwanaume huyo, denti...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwMaPD9bqKuLXLNvF7QjqlGmeKHy6r4hYlPrR0zOcN1V8-5fWh3*cUWBFfTjOPYZ20YJsYW09zwfuNcmZabz0iF7/dentiz.jpg)
DENTI ABAKWA NA MUUZA GENGE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlma9uwqJPT*c-w6Zh3lFhiNmn66X6xY9FaWnbRD7LPppuVeFzuk0TyZMdOgkAuu7bwx0ElKU2fAERIdVxZqL1k/DENTI.jpg)
DENTI ABAKWA, AZIMIA, ALAZWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3RjXmK94uKzXzKmhFiQb57DMkA6kWAomw8AkiLbXQN2iBTA-OJ3eBeN0WvaBxtuYpmgrndvV7h5UVMFIGWtddP0/denti.jpg?width=650)
DENTI ABAKWA, AOZA SEHEMU ZA SIRI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxUWhj8CVobf01EHEl4MIoOLA3wSa724kJ58*bMOXQfZtcEV2B0c3L9EGzTCwMjypjrIl6kqLwfxVuh2ggnfjI31ZuHIz5CX/BACKAMANI.jpg?width=650)
HEEE! DOKTA AKUTWA AKIJARIBU KUMCHOROPOA MIMBA DENTI
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s72-c/wema%2B%284%29.jpg)
NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s640/wema%2B%284%29.jpg)
Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...
11 years ago
Bongo Movies28 Jul
Mke wa Kingwendu Abakwa.
MKE wa Kingwendu ambaye ni muigizaji maarufu wa filamu za vichekesho nchini amefanyiwa kitendo kibaya cha ubakaji na mwanaume aliyefahamika kama Upunguvuku katika pagala moja huko Mbagala Kingugi kwa Kisauti.
Mke wa Kingwendu anayejulikana zaidi kwa jina la mama Maua, alikutwa na masahibu hayo Alhamisi iliyopita baada ya kuvamiwa na Upunguvuku anayedaiwa kuwa alikuwa amelewa na kuingizwa kwenye jumba ambalo halijasha kujengwa ...
10 years ago
CloudsFM09 Jan
MWANAFUNZI ABAKWA, AFARIKI
MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Rwanda Nzovwe jijini Mbeya , Elika Mkubwa (8), amefariki dunia baada ya kubakwa na watu wasiojulukana.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema baada ya watu hao kufanya unyama huo, waliuweka mwili wa mtoto huyo katika sinki la kuogea kwenye nyumba moja ambayo haijakamilika ujenzi wake. Pamoja na hayo, alisema upelelezi bado unaendelea ili kuwabaini waliohusika na tukio hilo.
Akizungumza eneo la tukio, kiongozi wa Mtaa wa...
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Abakwa akimtembeza Mbwa
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Bibi wa miaka 81 abakwa
MKAZI wa kijiji cha Luteba, wilayani hapa, jina linahifadhiwa (81) amedaiwa kubakwa na watu wasiojulikana na kumsababishia maumivu makali. Akisimulia mkasa huo Bibi huyo, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi...