MWANAFUNZI ABAKWA, AFARIKI
MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Rwanda Nzovwe jijini Mbeya , Elika Mkubwa (8), amefariki dunia baada ya kubakwa na watu wasiojulukana.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema baada ya watu hao kufanya unyama huo, waliuweka mwili wa mtoto huyo katika sinki la kuogea kwenye nyumba moja ambayo haijakamilika ujenzi wake. Pamoja na hayo, alisema upelelezi bado unaendelea ili kuwabaini waliohusika na tukio hilo.
Akizungumza eneo la tukio, kiongozi wa Mtaa wa...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-EpqRABVevPg/VQewp5ZRLeI/AAAAAAAAqLw/XTNm57i8eVo/s72-c/CIMG0026.jpg)
Mwanafunzi Atekwa, Abakwa na Kuuwawa Kinyama..
![](http://3.bp.blogspot.com/-EpqRABVevPg/VQewp5ZRLeI/AAAAAAAAqLw/XTNm57i8eVo/s1600/CIMG0026.jpg)
Akizungumzia tukio hilo la kusikitisha sana, mama mdogo wa marehemu, Doto Lucas alisema:“Siku ya tukio ambayo ni Alhamisi iliyopita (Machi...
11 years ago
CloudsFM04 Jul
POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA
Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.
KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.
Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...
10 years ago
Habarileo19 Oct
Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita
MWANAFUNZI wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Mwanafunzi afariki kwa mkokoteni
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Mwanafunzi afariki akisaka maembe
MWANAFUNZI Hamimu Mussa (11), wa Shule ya Msingi Uhuru Manispaa ya Kigoma Ujiji, amefariki dunia baada ya kuanguka kwenye mti wa mwembe na mwingine kuvunjika mguu na mkono. Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Walimu wamchapa mwanafunzi, afariki
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-1xif-d8lGjE/XkRI7cew9RI/AAAAAAAAmp4/08_uCkcxRd8ohNF1jgH2gCUannXGaV64ACLcBGAsYHQ/s72-c/b0b1652d-bf1d-4f1f-af9d-183e3c3e58dd.jpg)
MWANAFUNZI AFARIKI KATIKA JARIBIO LA KUTOLEWA MIMBA
![](https://1.bp.blogspot.com/-1xif-d8lGjE/XkRI7cew9RI/AAAAAAAAmp4/08_uCkcxRd8ohNF1jgH2gCUannXGaV64ACLcBGAsYHQ/s640/b0b1652d-bf1d-4f1f-af9d-183e3c3e58dd.jpg)
Kufuatia mwanafunzi wa miaka 14 wa darasa la sita manispaa ya Bukoba mkoani kagera kufariki dunia baada ya jaribio la kutoa mimba kamanda wa polisi mkoani Kagera Revocatus Malimi amewataka wananchi mkoani humo kuachana na kupata huduma za afya mtaani badala yake waende sehemu ambazo zimeruhusiwa kisheria ambako kuna watalamu wazoefu.
Kauli hiyo imetolewa na kamanda Wa polisi mkoani Kagera Revocatus Malimi wakati akiongea na waandishi wa habari juu ya matukio mbali...
9 years ago
StarTV16 Nov
 Mwanafunzi Shule ya Sekondari Idodi Iringa afariki dunia
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Idodi mkoani Iringa amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakati akicheza mpira uwanjani na wanafunzi wenzake.
Radi hiyo pia imejeruhi wanafunzi wengine saba na mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Idodi aliyekuwa anaokota kuni jirani na uwanja huo kabla mvua iliyoambatana na radi haijaanza kunyesha.
Tukio hilo la Ijumaa ni la pili kwa kipindi cha siku mbili ambapo siku moja kabla, mkazi wa kijiji cha Kibena Iringa vijijini akiwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
AJALI MBAYA: MWANAFUNZI MAKONGO AGONGWA NA LORI, AFARIKI