DEREVA BAJAJ AGONGA AKIMBIA, WANANCHI WAMKAMATA
Wasamaria wema na dereva wa daladala (aliyevaa jezi nyekundu) akimuokoa dereva wa Bajaj kupigwa na wananchi. Dereva wa Bajaj akiwa ndani ya chombo hicho na askari wa Usalama Barabarani akiwa kwenye eneo la tukio.…
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NOEPf2lvTAk/Xnnxaw3mMKI/AAAAAAALk6Q/hdUMqFjdEAYrsPSG1XRxBmhRmABwKv1eACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200324-WA0002.jpg)
MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI
![](https://1.bp.blogspot.com/-NOEPf2lvTAk/Xnnxaw3mMKI/AAAAAAALk6Q/hdUMqFjdEAYrsPSG1XRxBmhRmABwKv1eACLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200324-WA0002.jpg)
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
Polisi wamkamata mwizi aliye uchi Mexico
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4xoPpbdcMefMJtyZyR9kJvINTrCIUYJeftH-DTtfMZc6zoWHrSe03u*rwM7dRvinVPBszOSCSn*MKXRLuWoSH8V/Wema.jpg)
POLISI WAMKAMATA WEMA SEPETU AKIDAIWA KUPIGA MUZIKI KWA SAUTI USIKU
10 years ago
Mwananchi27 Jun
Chenge agonga mwamba escrow
10 years ago
Bongo Movies29 Jan
Ubuyu:Polisi Wamkamata Wema Sepetu Akidaiwa Kupiga Muziki Kwa Sauti Usiku
Katika hali ya kushangaza, polisi walijikuta wakipata shughuli pevu kumkamata staa asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Sepetu ambaye alidaiwa kupiga muziki kwa sauti kubwa usiku kucha pasipo kuwa na kibali, Amani linakupa mchapo.
Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita, nyumbani kwa mwigizaji huyo, Kijitonyama jijini Dar kulikokuwa na bethidei ya rafiki yake aliyejulikana kwa jina moja la Neema.
Awali, mapaparazi wa GPL walipokea simu ya mmoja wa majirani wa Wema ambaye alidai mwigizaji huyo...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Agonga mara mbili, ajiua kwa risasi
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29), amejipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti na gari lake kupinduka. Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 12 jioni nyumbani kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jPvKO*I18G8HDWpLQvToLSLrYVwpy1geOX3GbkQjTiQSyF9hFbeE4Zf6PfPCrPFoxd820gv2NtiEnJLzKUojRr-Z7TlbuwnT/1.jpg?width=650)
ARSENAL YAUA, WELBECK AGONGA HAT-TRICK
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fDK7wGavSSWN7TF8iLpKreW2C248gPnesN5SZ27PIU36kd-8eNYZgXfLPSfCYYQODtORksPP7NNQvLxLyeN2XKrg3SqQvcXA/azam.jpg)
Mchezaji Azam agonga Dar, apigwa kama mwizi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC10OYITSKH0q3URjczAA1q5kuYVYRtS55o9gCTqW4YOYMy1Kv0r6BJTVZoQSM6FOvv4MCCQgHmZzidUKJTw-VEu/JLO1.jpg?width=650)
J-LO AGONGA SHOO YA NGUVU UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA BRAZIL