Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchezaji Azam agonga Dar, apigwa kama mwizi

Muonekano wa gari hilo baada ya ajali. Wilbert Molandi na Nicodemas Jonas
BEKI wa pembeni wa timu ya taifa, Taifa Stars na Azam FC, Erasto Nyoni, amekumbana na mkasa mkubwa baada ya kudaiwa kumgonga dereva bodaboda katika eneo la Tip Top, Manzese jijini Dar es Salaam. Baada ya kumgonga dereva huyo wa bodaboda akiwa katika kwa gari lake aina ya Toyota Grande Mark 11 GX 110, lenye namba T 901 AZG, Nyoni hakusimama na badala yake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MCHEZAJI YANGA APIGWA PINGU...

Mshambuliaji wa Yanga, Shabani Kondo (kulia) akiwa ndani ya pingu. Na Sweetbert Lukonge
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Shabani Kondo, alionja joto ya jiwe jana baada ya kumkunja ofisa wa jeshi la polisi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kisha kupelekwa kituo cha polisi. Kondo alikumbana na mkasa huo kufuatia kutaka kupigana na askari baada ya mchezo dhidi ya Mbeya City ambao uliishuhudia Yanga ikivunja rekodi ya Mbeya kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yasajili mchezaji Ivory Coast

>Klabu ya Azam imepania inatwaa ubingwa wa Tanzania Bara baada ya kumnyakua mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Mamadou Kone kutoka klabu ya Stella Abidjan. Mshambuliaji huyo ametua nchini na amemwaga wino wa kuichezea klabu hiyo kwa muda wa mwaka mmoja.

 

5 years ago

Michuzi

WIZI WA BIBLIA WAMPONZA KIBAKA DAR, WANANCHI WAMPA KIPIGO 'PAKA MWIZI'


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Ndonga mkazi wa Majumbasita jijini Dar es Salaam amejikuta akipokea kipigo cha 'Paka mwizi' kutoka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kukwapua Biblia ya muumini wa dini ya Kikristo aliyekuwa akielekea Kanisani.

Tukio hilo limetokea leo Juni 7,2020, saa 12 asubuhi Njia Panda ya Segerea eneo la reli ambapo kijana huyo kabla ya kukwapua Bibli hiyo alitoa panga lake na kisha kumpiga na ubapa wa panga mgongoni muumini huyo...

 

10 years ago

Vijimambo

UBABAISHAJI WA VIONGOZI WA TIMU ZA TANZANIA UNAWEZAJE KUMNUNUA MCHEZAJI KWA PESA NYINGI BILA KUPIMWA NA KUJUA KAMA ANATATIZO KABLA YA KUSAJILIWA?

Mchezaji wa timu ya Simba, Paul Raphael Kiongera.
Daktari huyo amesema kama Kiongera amekuwa na ugonjwa sugu wa goti, ni nadra kama atanusurika kufanyia upasuaji.
“Ugonjwa wa goti una mambo mengi, siwezi kusema kila kitu kwa kuwa majibu ya tatizo la Kiongera sijayaona.“Kama ni ugonjwa sugu, asilimia kubwa ni upasuaji na mara nyingi inakuwa ni nje ya nchi,” alisema daktari huyo bingwa.
“Lakini bado inawezekana hata hapa nyumbani ingawa mara nyingi watu hukwepa tu gharama lakini nje ni sahihi,”...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daktari: Hakuna kama Azam FC

UONGOZI wa Azam FC, umezitaka klabu nyingine za Ligi Kuu Tanzania Bara, kuheshimu afya za wachezaji wao, na kuwafanyia uchunguzi wa afya wakiwasajili na hata wawapo ndani ya timu kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Pele: Mchezaji maarufu wa soka nchini Brazil asema hali yake afya ni jambo la kawaida kwa watu wenye umri kama wake

Pele, aliyekuwa mchezaji soka maarufu Brazil amezungumza kwa mara ya kwanza tangu mwanawe alipodai afya yake huenda ikawa kizuizi cha kuwa nyumbani na kusema hali yake ya afya ni jambo la kawaida kwa mtu mwenye umri kama wake.

 

11 years ago

GPL

MC MAARUFU DAR APIGWA RISASI 9

Stori: Haruni Sanchawa na Issa Mnally
Masikitiko yameigubika familia ya Jafari na wakazi wa Yombo-Kilakala, Temeke jijini Dar kufuatia tukio la mshereheshaji (MC) maarufu, Kelvin Jafari ‘Kalembo’ (42) kupigwa risasi tisa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi. MC Kelvin Jafari ‘Kalembo’ enzi za uhai wake. Tukio hilo lilijiri saa moja usiku wa Jumamosi iliyopita huko Yombo ambapo kwa mujibu wa mashuhuda,...

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU: Azam, Simba kama fainali

>Ni vita ya kupanda ndege. Hilo, pengine ndilo jina  la pambano la leo baina ya Simba na Azam kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Azam asema ni kama fainali leo

Kikosi cha Azam  jana kilifanya mazoezi ya  mwisho yaliyojaa ‘taaluma’ ya kutosha kabla ya  kuwavaa El- Merreikh ya Sudan katika robo fainali  ya pekee kwa aina yake kuwania Kombe la Kagame.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani