DEREVA: SITOI RUSHWA LABDA UNIUE
![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ0UKZ2Ek7wc1oQrKhxu05Ytl0Fftmy6vjz4YuxBANNwHOeCSyjCo5tPmwIFnBIXsEHRVc9N-CciZF*GxgRUE966/trafki.jpg?width=650)
Stori:Â Issa Mnally SEKESEKE la aina yake kati ya dereva wa gari dogo aina ya Toyota Pick up na trafiki ambao majina yao hayakujulikana mara moja liliibuka na kuzua maswali mengi kwa mashuhuda huku mambo ya rushwa yakitajwatajwa. Trafiki akimdhibiti dereva wa gari dogo aina ya Toyota Pick up. Tukio hilo lilizozua maswali mengi liliibuka juzi Jumatano, Bamaga, Mwenge jijini Dar jirani na kituo cha mafuta cha Bamaga. Katika...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NOEPf2lvTAk/Xnnxaw3mMKI/AAAAAAALk6Q/hdUMqFjdEAYrsPSG1XRxBmhRmABwKv1eACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200324-WA0002.jpg)
MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI
![](https://1.bp.blogspot.com/-NOEPf2lvTAk/Xnnxaw3mMKI/AAAAAAALk6Q/hdUMqFjdEAYrsPSG1XRxBmhRmABwKv1eACLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200324-WA0002.jpg)
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZaaf*lMTyzNVPmAU-UlCf7-VK731KLPXPCC1ZkNOnHTU0VSBkVw9Qqz7HvDAT4nCpnW5HDBIjbByvMWxqwf7eUM/snura.jpg?width=650)
ISABELA: SITOI PENZI KWA MAMENEJA
9 years ago
Mtanzania04 Nov
Izzo Bizness: Sitoi wimbo bila mama kuukubali
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKALI anayefanya vizuri kwenye muziki wa kizazi kipya nchini, Emmanuel Simwinga ‘Izzo Bizness’, amesema kabla hajatoa wimbo ni lazima ampe mama yake ausikilize ndiyo aupeleke redioni.
Izzo alisema tabia hiyo aliianza baada ya kutoa wimbo wake wa kwanza wa ‘Biziness’ na alipoupitisha huwa na mafanikio makubwa, ndiyo maana anaendelea na hali hiyo hadi sasa.
“Huwa namtumia nyimbo mbili kisha yeye anachagua upi niutoe, nipo tofauti na wasanii wengi ambao kabla hawajatoa...
10 years ago
Bongo502 May
Nimesikitishwa kusikia baadhi ya wasanii wanasema sitoi connections za nje — AY
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
CCM hii? Labda nyingine!
NATAKA kuamini kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kuacha fedha chafu, kwa sababu itakuwa sawa na kung’ata kidole kinachopeleka chakula mdomoni. Nitasimulia kidogo. Mnamo Machi 2006, Rais Jakaya Kikwete akiwa...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-lvomN10laiI/VTB7AD2ue7I/AAAAAAADikI/z7LLKyOQogI/s72-c/3497bc957b68a35fc57b7fb525ec9ab3-260-260.jpeg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-jriP-EYRTsE/VTfwftQa0LI/AAAAAAADjdg/nslT9CRI_7A/s72-c/timthumb.jpg)
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Labda CCM itawale milele kunusuru Muungano wa serikali mbili