Dewji ambwaga rais wa Nigeria na kushinda tuzo ya Forbes, ‘Person Of The Year 2015’
Mwenyekiti Mtendaji wa METL, Mohammed Dewji amembwaga rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari na wengine watatu kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za ‘Forbes Africa’s Person Of The Year 2015’ zilizotolewa jana.
“Congratulations to Tanzanian businessman and philanthropist extraordinaire, Muhammed Dewji on being named Forbes Africa’s Person Of The Year 2015. #FAPOY2015,” wameandika Forbes
Akipokea tuzo hiyo Dewji alidai kuitoa kwa vijana wa Tanzania.
Ushindi huo unakuja baada ya hivi karibuni...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Oct
MPIGIE KURA MO DEWJI KUSHINDA TUZO YA HESHIMA BARANI AFRIKA #FAPOY2015


9 years ago
Bongo509 Dec
Diamond na Vanessa watajwa kuwania tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ za Nigeria

Mtandao wa ku-download muziki tooXclusive.com wa Nigeria ambao ndio waandaaji wa tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ wametangaza majina ya nominees wa mwaka huu.
Kuna jumla ya vipengele 18 vinavyoshindaniwa, na kipengele cha ‘African Artiste Of The Year’ ndio kinachowahusu wasanii wa nje ya Nigeria ikiwemo Tanzania.
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ndio wasanii wa Tanzania wanaoshindana na Sauti Sol (Kenya), Sarkodie (Ghana), Cassper Nyovest na AKA (South Africa).
AFRICAN ARTISTE OF THE...
9 years ago
Bongo502 Jan
Hawa ndio washindi wa tuzo za ‘The Headies 2015’ za Nigeria zilizotolewa Jan 1, 2016

Tuzo za The Headies za nchini Nigeria zilizokuwa zitolewe December 30, 2015 zilisogezwa na kutolewa January 1, 2016 jijini Lagos.
Katika tuzo hizo kulikuwa na kipengele kimoja kwaajili ya wasanii wa nje ya Nigeria, ‘African Artist’ ambapo Diamond Platnumz alikuwa akiwania na Cassper Nyovest, AKA na Uhuru wa Afrika Kusini, pamoja na Sarkodie wa Ghana. Hata hivyo matokeo ya kipengele hicho hayajawekwa.
Ifuatayo ni orodha ya washindi wa tuzo hizo zilizofanyika kwa mara ya kumi:
Headies...
10 years ago
Bongo528 Dec
Diamond na Vanessa Mdee waing’arisha tena Tanzania kwa kushinda tuzo za Afrima Nigeria
10 years ago
Mwananchi04 Mar
FORBES: Dewji sasa bilionea kijana Afrika
9 years ago
Bongo520 Nov
Africa’s 50 Richest (Forbes): Dewji ni namba 21, aongoza Tanzania

Forbes wametoa orodha ya watu 50 matajiri zaidi barani Afrika.
Nafasi ya kwanza imeendelea kushikiliwa na bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote mwenye utajiri wa dola bilioni 16.7.
Mwenyekiti Mtendaji wa METL, Mohammed Dewji amekamata nafasi ya 21 kwenye orodha hiyo akiwa na utajiri wa dola bilioni 1.1. Dewji anaendelea kuwa tajiri namba moja nchini Tanzania.
Rostam Aziz amekamata nafasi ya 25 kwa utajiri wa dola milioni 900 huku Said Salim Bakhresa akikamata nafasi ya 36 kwa kuwa na utajiri...
10 years ago
Bongo521 Nov
Africa’s 50 Richest (Forbes 2014): Rostam, Dewji, Bakhresa na Mengi waingia!
10 years ago
Bongo503 Mar
Forbes 2015: Dewji amtoa Rostam Aziz kwenye nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi Tanzania!