Dhamana ya mshukiwa wa pembe yakataliwa
Mahakama imetupilia mbali ombi la kuachiliwa kwa dhamana Feisal Mohammed Ali anayeshukiwa kuwa mlanguzi mkubwa wa pembe za ndovu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo509 Oct
Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m
Mwanamke wa China anayedaiwa kuongoza genge kubwa zaidi la usafirishaji pembe za ndovu barani Afrika amekamatwa nchini. Akipewa jina la utani “Ivory Queen”, Yang Feng Glan anadaiwa kusafirisha pembe za ndovu 706 kutoka nchini kwenda Mashariki ya mbali. Glan, 66, anadaiwa kuwa na ukaribu na majangili wa Afrika Mashariki na walanguzi wa China. Anadaiwa pia […]
10 years ago
Uhuru Newspaper05 Sep
Serikali ya Tanganyika yakataliwa
Na Peter Orwa, Dodoma
SERIKALI ya Tanganyika imeendelea kupingwa, ambapo wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalumu la Katiba, wamesema haiwezi kuwa na tija kwa Watanzania.
Kamati nyingi zilizoundwa kwa ajili ya kuchambua Rasimu ya Katiba na ambazo zinawasilisha maoni yake bungeni, zimepinga kuwepo kwa Serikali ya Tanganyika.
Mapendekezo ya kuwepo kwa serikali ya Tanganyika, yamo kwenye Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
UHURU imebaini kuwa tangu...
11 years ago
Mwananchi01 May
Katiba ya Simba yakataliwa
Katiba ya Simba imekwama kupita kwa Msajili wa Vyama vya Michezo baada ya kuwa na upungufu kidogo wa kisheria.
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Rufaa ya Blatter na Platini yakataliwa
Maombi ya rais wa FIFA Sepp Blatter na makamu wa rais wa shirikisho hilo Michel Platini ya kupinga kusimamishwa kazi kwa siku 90 waliowekewa na kamati ya Fifa yamekataliwa.
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Misaada ya Lwakatare yakataliwa Bukoba
Baadhi ya wakuu wa vituo vya afya na zahanati katika Manispaa ya Bukoba, wamegoma kupokea misaada kwa ajili ya wajawazito uliotolewa na Mbunge wa Bukoba Mjini (Chadema), Wilfred Lwakatare kwa madai ya kupewa maelekezo na Serikali.
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Mshukiwa wa Mpeketoni mahakamani
Mshukiwa aliyekamatwa na polisi kuhusiana na mauaji yaliyotokea Mpeketoni Pwani ya Kenya, amefunguliwa mashitaka ya mauaji
10 years ago
BBCSwahili03 Jan
Mshukiwa wa mauaji Kenya na TZ afariki
Mmoja wa watu waliopanga mashambuliz ya kigaidi kwenye balozi za marekani nchini Kenya na Tanzania mwaka 1998 ameaga dunia
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Mwili wa mshukiwa wa 3 wa ugaidi wapatikana
Mwili wa 3 umepatikana katika nyumba ya Saint-Denis iliovamiwa na maafisa wa polisi kuhusiana na shambulizi la Paris,kulingana na kiongozi wa mashtaka nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili22 Jul
Masalia TZ:Mshukiwa mmoja akamatwa
Polisi nchini Tanzania wanachunguza kisa ambapo masalia ya viungo vya binadamu yalipatikana yametupwa mjini Dar es Salaam
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania