Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katiba ya Simba yakataliwa

Katiba ya Simba imekwama kupita kwa Msajili wa Vyama vya Michezo baada ya kuwa na upungufu kidogo wa kisheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali ya Tanganyika yakataliwa


Na Peter Orwa, Dodoma
SERIKALI ya Tanganyika imeendelea kupingwa, ambapo wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalumu la Katiba, wamesema haiwezi kuwa na tija kwa Watanzania.
Kamati nyingi zilizoundwa kwa ajili ya kuchambua Rasimu ya Katiba na ambazo zinawasilisha maoni yake bungeni, zimepinga kuwepo kwa Serikali ya Tanganyika.
Mapendekezo ya kuwepo kwa serikali ya Tanganyika, yamo kwenye Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
UHURU imebaini kuwa tangu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Rufaa ya Blatter na Platini yakataliwa

Maombi ya rais wa FIFA Sepp Blatter na makamu wa rais wa shirikisho hilo Michel Platini ya kupinga kusimamishwa kazi kwa siku 90 waliowekewa na kamati ya Fifa yamekataliwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Misaada ya Lwakatare yakataliwa Bukoba

Baadhi ya wakuu wa vituo vya afya na zahanati katika Manispaa ya Bukoba, wamegoma kupokea misaada kwa ajili ya wajawazito uliotolewa na Mbunge wa Bukoba Mjini (Chadema), Wilfred Lwakatare kwa madai ya kupewa maelekezo na Serikali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Dhamana ya mshukiwa wa pembe yakataliwa

Mahakama imetupilia mbali ombi la kuachiliwa kwa dhamana Feisal Mohammed Ali anayeshukiwa kuwa mlanguzi mkubwa wa pembe za ndovu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba Simba yadunda

SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imeurejeshea uongozi wa Simba katiba yao huku ikiwataka kufanyia kazi baadhi ya mapungufu yaliyomo kabla haijapitishwa. Simba ilipitisha mabadiliko ya katiba...

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba Simba kaa la moto

>Wakati mkutano wa mabadiliko ya Katiba ya Simba umepangwa kufanyika Machi 16 suala kubwa linalowapasua vichwa wanachama ni kipengele cha kutaka mtu aliyefungwa asiruhusiwe kugombea nyadhifa ndani ya klabu hiyo.

 

11 years ago

GPL

SIMBA YAPITISHA MAREKEBISHO YA KATIBA MPYA

Viongozi wa Kamati ya Utendaji ya Simba wakiwa kwenye mkutano wa marekebisho ya katiba. Mwenyekiti wa Simba SC, Ismail Aden Rage, akihutubia.…

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Simba Mei, Katiba leo

Wakati mkutano mkuu wa marekebisho ya katiba ya Simba unafanyika leo kwenye Uukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oyster Bay,Uongozi wa klabu hiyo umetangaza tarehe ya uchaguzi kuwa Mei 4, 2014.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Ofisa Habari wa Simba, Asha

 

11 years ago

Michuzi

UPITIAJI RASIMU YA KATIBA YA CLUB YA SIMBA WAMALIZIKA

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akitoa ufafanuzi kwa Wanahabari hawapo pichani kuhusu Rasimu ya Katiba ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba baada ya wanahabari kutaka kupata ufafanuzi juu ya hatma ya Katiba na uchaguzi wa Klabu hiyo.
Na: Genofeva Matemu
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imemaliza kupitia Rasimu ya Katiba ya Club ya Simba kwa ajili ya kuidhinisha katiba hiyo na kuifanya Club ya Simba kuendelea na taratibu za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani