Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


dhifa maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya Ujumbe wa Bodi ya Utendaji ya IFAD ZANZIBAR

Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo { IFAD }umeombwa kuendelea kuunga mkono Sekta ya Kilimo Zanzibar katika njia ya kuwajengea uwezo wazalishaji wa Sekta hiyo mama ya uchumi kupitia mfumo wa Teknolojia ya kisasa.  Ombi hilo limetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hapo Serena Hoteli Shangani Mjini Zanzibar wakati wa dhifa maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya Ujumbe wa Bodi ya Utendaji ya Mfuko huo uliofanya ziara maalum kukagua miradi mbali mbali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ujumbe wa IFAD wakutana na Rais wa Zanzibar,Dkt. Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dr.Yaya Olaniran,Kiongozi Ujumbe wa Bodi tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na kufanya mazungumzo na Rais. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw.Rasit Peter (kushoto) baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Bodi tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD)...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA Ujumbe wa Bodi ya TRA, IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya TRA Benard S.Mchonvu wakati alipoongoza ujumbe wa Bodi hiyo leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Bodi TRA ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi ukiongoza na Mwenyekiti wake Benard S.Mchonvu (wa tatu kushoto). Rais wa Zanzibar na...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS NYUSI WA MSUMBIJI AMWANDALIA JK DHIFA MAALUM YA KUMUAGA, JIJI LA MAPUTO LAMTUNUKU UKAZI WA KUDUMU

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi  wa Msumbiji wakigonga glasi ya kutakiana heri wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake katika ikulu ya nchi hiyo jijini Maputo maarufu kama Ponta Vermelha usiku wa kuamkia leo.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuwaaga wananchi wa Msumbiji akisisitiza kuwa uhusiano wa kidugu na kipekee kati ya nchi hizo mbili utaendelea kudumu na kukuaRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji...

 

11 years ago

Michuzi

WENGI WAJITOKEZA KWENYE SEMINA MAALUM YA UONGOZI BORA ILIYOANDALIWA NA MIKONO SPEAKERS

Nguli wa Maswala ya Uongozi na Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Kimataifa ya Brian Tracy kutoka nchini Marekani,Brian Tracy akikiongoza semina maalum ya uongozi bora iliyoandaliwa na Mikono Speakers,iliyofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere,Jijini Dar es Salaam.Nguli mwingine alietoa mada kwenye Semina hiyo ni Azim Jamal ambaye ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Corporate Sufi Worldwide Inc. kampuni inayojihusisha na kusaidia wadau na makampuni kupata...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ujumbe: Kama Wewe ni Kijana, Monalisa Ana Hili Kwa Ajili Yako

"Kijana,ichunge sana LEO yako.Hujui kESHO utafanya nini au utakuwa nani.KESHO itakapofika watu watakuhukumu kwa JANA yako ambayo ni LEO.Chunga sana LEO yako ndio inayokutengenezea KESHO yako." YVONNE CHERRIE
Roho yangu imenisukuma tu kukuandikia ujumbe huu..pengine nitaokoa LEO ya mtu fulani..Kila la kheri 

Monalisa on Instagram

 

11 years ago

GPL

UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA SHIGONGO

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo. Hiki ndicho ninachokifahamu mimi ndugu yenu. Maisha ni vita, maisha ni mapambano na mtindo pekee wa kukusogeza mbele ni kupigana! Hata uwe mwema kiasi gani utakuwa na maadui, Yesu alikuwa nao, Mtume Muhammad alikuwa nao, Mandela alikuwa nao na hata Mahatma Gandhi alikuwa nao. Hata ufanyeje maadui watakuwepo tu, utapingwa, utapuuzwa, hivyo basi kamwe usijaribu kuwafurahisha watu,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujumbe maalum kwa Waziri wa Maji

KATIKA mjadala wangu hapa sitojadili bajeti  Wizara ya Maji iliyowasilishwa bungeni na  Waziri wake Profesa Jumanne Maghembe, sitaijadili kwakuwa siamini kama italeta mabadiliko yoyote kwa wananchi masikini hasa wanaoishi vijijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani