Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DI MARIA ATUPIA MBILI ARGENTINTA IKISHINDA TANO DHIDI YA BOLIVIA..

 Sergio Aguero na Angel di Maria wameonyesha wana hawana uchovu wa Ligi Kuu England, baada ya kila mmoja kupiga zaidi ya bao moja wakati Argentina ikiitwanga Bolivia 5-0.Di Maria hakua na msimu mzuri sana katika club yake ya Manchester United kitu kilichowapa watu wengi wasiwasi kuhusu kiwango chake. Hata hivyo Di Maria amesema ataendelea kuichezea club yake hiyo na aahidi kurudi katika kiwango bora zaidi.
Kiwango alichokionyesha katika timu yake ya taifa ya Argentina ikiwemo kuziona nyavu...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

DI MARIA ATUPIA MBILI ARGENTINA IKISHINDA 6 -1 DHIDI YA PARAGUAY


Timu ya Taifa ya Argentina imetinga kwa kishindo hatua ya fainali ya Copa America baada ya kuitandika Paraguay kipigo cha mbwa mwizi cha magoi 6-1 katika mechi ya nusu fainali iliyopigwa usiku wa kuamkia leo.Mabao ya Argentina yamefungwa na Marcos Rojo (15), Javier Pastore (27), Angel Di Maria (47, 53), Sergio Aguero (80) na Gonzalo Higuain (83), huku goli la kufutia machozi kwa Paraguay likifungwa na Lucas Barrios (43).Kama kocha wa Manchester United, Louis van Gaal anataka kupata kiwango...

 

11 years ago

Mwananchi

Messi atupia mbili Barca, Negredo apiga tatu City

>Lionel Messi amefunga mabao mawili akiwa amerejea baada ya kukaa nje kwa miezi miwili akisumbuliwa na tatizo la misuli na kuisaidia Barcelona kuichapa Getafe 4-0 katika mchezo wa kwanza wa raundi ya tano ya Kombe la Mfalme.

 

5 years ago

CCM Blog

DC TANO MWERA ATUMA UJUMBE WA PASAKA, ATOA TAHADHARI DHIDI YA CORONA BUSEGA

BUSEGA, Simiyu
MKUU wa Wilaya ya Busega iliyopo Mkoani Simiyu ametoa ujumbe wa Pasaka kwa Wananchi wote na kuhimiza wananchi kuzingatia tahadhari zinazotolewa na Wataalamu wa Afya.

"Nachukua nafasi hii kuwatakia Kheri ya Pasaka wana Busega na Watanzania wote kwa ujumla. 

Tusherehekee sikukuu zetu kwa uangalifu mkubwa huku tukifata maelekezo ya Wataalam wetu wa Afya, epuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima, tuzingatie kunawa mikono kila wakati, au kutumia vitakasa mikono ( sanitizer).

"Kaa nyumbani...

 

10 years ago

GPL

KONGAMANO LA SIKU MBILI LA UKATILI WA JINSIA DHIDI YA WANAWAKE NA WALEMAVU

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Seed Trust, Margareth Mkanga (MB) akizungumza katika kongamano hilo. Kulia ni Mwenyekiti wa Shirika hilo, Stephen Mashishanga. Kongamano hilo la Majadiliano kuhusiana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na walemavu limeshirikisha wadau mbalimbali kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania na kuandaliwa na Shirika la Seed Trust la mjini Morogoro kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa...

 

10 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA SIKU MBILI VITA DHIDI YA UKATILI KWA WANAWAKE NA WALEMAVU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani akihutubia wakati akifungua Kongamano la Majadiliano kuhusiana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na walemavu Mkoani Morogoro leo. Kongamano hilo ambalo limeshirikisha wadau mbalimbali kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania limeandaliwa na Shirika la Seed Trust la mjini Morogoro kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA). Kulia ni Katibu Mtendaji Tume ya Haki za...

 

10 years ago

GPL

WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI

Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye' akimtaja mshindi. Joh Makini akiwashukuru mashabiki wake (hawapo pichani) baada ya kuchukua Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka wa Hip Hop akiwa na Nikki wa Pili (kushoto). MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015 1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND 2. KIKUNDI…

 

10 years ago

Michuzi

MSAMA AKABIDHI MILIONI MBILI KWA AJILI YA KUSIDIA MAPAMBANO DHIDI YA MAUAJI YA ALBINO

 Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akimkabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi milioni moja Mjumbe wa Kamati Kuu Taifa ya Chama cha Albino Tanzania, Mohamed Chanzi kwa ajili kuunga mkono kampeni ya kupinga mauaji ya albino. Kushoto ni Mweka Hazina wa Chama hicho, Abdilah Omari na wa pili kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha la Pasaka, Hudson Kamoga. Mbali na fedha hizo Msama alikabidhi hundi ya sh. milioni moja. (Picha na Francis Dande) Msama akikabidhi hundi ya sh....

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la siku mbili la kudhibiti Ujangili na kutokomeza mauaji dhidi ya Tembo

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Hoteli ya Hyat Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam jana Mei 9, 2014 kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la  Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo linatarajia kumalizika leo. (Picha na OMR).

4

 Washiriki wa Kongamano hilo, wakisimama kumkaribisha mgeni rasmi Makamu...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU MBILI LA KUDHIBITI UJANGILI NA KUTOKOMEZA MAUAJI DHIDI YA TEMBO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, asalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Hoteli ya Hyat Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam leo Mei 9, 2014 kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo linatarajia kumalizika kesho.
Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani