Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond afungukia kuchelewa kuchukua tuzo za MTV

hhj2Staa anayekimbiza kunako muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

Musa mateja
STAA anayekimbiza kunako muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefungukia sababu zilizomfanya kuchelewa kuchukua tuzo za MTV Europe (EMA) na kuchukua Desemba mwaka huu ni kuwa hazikuwa halisi.

Akizungumza na Amani, Diamond aliyepata tuzo katika vipengele vya Msanii Bora Afrika pamoja na Msanii Bora kutoka Afrika/India alisema kuwa tuzo hizo walitangazwa kushinda lakini...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TUZO YA MTV YAMPA KIWEWE DIAMOND!

BAADA ya kuchukuwa Tuzo ya Mtumbuizaji Bora Afrika mwishoni mwa wiki iliyopita, staa anayetikisa kupitia Ngoma ya Nana, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameonekana kama kupata kiwewe. Katika kusheherekea usiku wa tuzo hizo zinazojulikana kama MTV Africa (MAMA), Diamond alitupia picha mbalimbali kwenye mitandao yake ya kijamii na mojawapo ilimuonesha akiwa amelala huku tuzo yake ikiwa pembeni ya kitanda na kufunguka;...

 

11 years ago

Michuzi

Diamond atamba kutwaa tuzo MTV

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Naseeb Abdul ‘Diamond’akiongea na waandishi wa habari kabla ya kuanza show hiyo,(kushoto), ni wasanii wa kundi la Sauti Sol.  Picha ya pamoja.  Watangazaji wa MTV Base Vanessa Mdee (kushoto),  na Nomuzi Mabe (kulia), wakiwaelezea mashabiki wa muziki kuhusina na show  hizo.  Kundi la Mi Casa likitoa burudani.  Diamond akitoa burudani.   Mashabiki mbalimbali waliofurika katika ukumbi huo wakifuatilia show. Mashabiki mbalimbali waliofurika...

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA MTV SAUZI, DIAMOND MUMUACHE

Staa wa Bongo fleva, Diamond Platinumz akipozi na mpenzi wake Wema Sepetu ndani ya Ukumbi wa ICC, Durban nchini Afrika Kusini.
Stori: MWANDISHI WETU WAMUACHE! Hii ndiyo kauli pekee ambayo unaweza kuisema kwa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwani Jumamosi iliyopita alifanya maajabu na kuishangaza dunia kufuatia shoo kali aliyoangusha katika Tuzo za MTV Africa (Mama) 2014 katika Ukumbi wa ICC, Durban...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diamond atwaa tuzo ya Mtv-Base

NYOTA ya Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’, imezidi kung’aa baada ya kutwaa tuzo ya Msanii Bora wa mwezi huu wa Kituo cha Televisheni cha Mtv-Base cha Afrika...

 

9 years ago

Mtanzania

Diamond amshinda Miss Dunia tuzo za MTV-EMA

hhjNA MWANDISHI WETU

MKALI WA muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, amempiku mwigizaji na mwanamuziki aliyewahi kuwa mrembo wa dunia mwaka 2000, Priyanka Chopra, kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV-EMA).

Tuzo hizo zilizofanyika nchini Italia usiku wa kuamkia jana, wawili hao walikuwa wanachuana kwenye kipengele cha ‘Best Worldwide Act’, tuzo ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa kutoka kwa nyota wengine wa muziki kutoka mataifa ya Australia, New Zealand,...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe, #MTVEMA

Majina ya wasanii wa Afrika watakaowania tuzo za MTV Europe, MTVEMA yametangazwa na Diamond ni miongoni mwa wasanii watakaowania tuzo hizo zitakazotolewa November 9 jijini Glasgow, Scotland. Diamond atachuana na Davido, Toofan wa Togo na Goldfish wa Afrika Kusini. Kwa mara nyingine tena Davido anachuana na Diamond kwenye tuzo kubwa baada ya ile BET Awards […]

 

9 years ago

GPL

DIAMOND ATWAA TUZO YA MTV EMA NCHINI ITALIA

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na tuzo yake kutoka MTV EMA. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ jana ametwaa tuzo ya MTV EMA katika kipengele cha ‘Best Worldwide Act: Africa/India’ akimgalagaza Miss World 2000, Priyanka Chopra. Diamond alikuwa akichuana na muigizaji wa filamu na aliyekuwa Mrembo wa Dunia (Miss World 2000), Priyanka Chopra katika tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV EMA) kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani