TUZO ZA MTV SAUZI, DIAMOND MUMUACHE
![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75oHq56bBqpzLq*DPuaYiqKfGbz1PlXDL-SXd5hqVZEtG1YDu1KhtJ-T94IrTnxAsokbszAWKu0KUNwGpj2eJ3Xc/Diamond.jpg?width=640)
Staa wa Bongo fleva, Diamond Platinumz akipozi na mpenzi wake Wema Sepetu ndani ya Ukumbi wa ICC, Durban nchini Afrika Kusini. Stori: MWANDISHI WETU WAMUACHE! Hii ndiyo kauli pekee ambayo unaweza kuisema kwa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwani Jumamosi iliyopita alifanya maajabu na kuishangaza dunia kufuatia shoo kali aliyoangusha katika Tuzo za MTV Africa (Mama) 2014 katika Ukumbi wa ICC, Durban...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qSLDD4V5iqc/U3dFd6gkfpI/AAAAAAAChRo/9wLDR3-6KHg/s72-c/1.jpg)
Diamond atamba kutwaa tuzo MTV
![](http://2.bp.blogspot.com/-qSLDD4V5iqc/U3dFd6gkfpI/AAAAAAAChRo/9wLDR3-6KHg/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-mymP46UmZSc/U3dFlqAiuvI/AAAAAAAChSA/9Q7978x8YH8/s1600/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-VBUcXgJz7Tg/U3dFuUADSwI/AAAAAAAChSI/gTz7J8XWcEA/s1600/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5lSaSrDOJ0g/U3dFxn1hMLI/AAAAAAAChSY/liHKaGpkYbk/s1600/5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AFZaQgUDmHs/U3dF4pXCGaI/AAAAAAAChSg/jLyVJG6rWlo/s1600/6.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WdBrlztb9ag/U3dFhRQUhII/AAAAAAAChRw/VJpLMLI-hiM/s1600/10.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-4VtY4_GNovA/U3dFhROcoKI/AAAAAAAChR0/M2_QSg7fLE4/s1600/11.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Diamond atwaa tuzo ya Mtv-Base
NYOTA ya Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’, imezidi kung’aa baada ya kutwaa tuzo ya Msanii Bora wa mwezi huu wa Kituo cha Televisheni cha Mtv-Base cha Afrika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eGJdezr2p4WDC6E*QE9GQZsZj8EDcsRtEQgrWOaTSxxTdOvbFcD*je-JeDwwEk8jsBNy6hi979wsQGJ8vF8IdRPOdWy-mXD0/11199470_1002922379731138_968098397_n.jpg?width=650)
TUZO YA MTV YAMPA KIWEWE DIAMOND!
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Diamond afungukia kuchelewa kuchukua tuzo za MTV
Staa anayekimbiza kunako muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Musa mateja
STAA anayekimbiza kunako muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefungukia sababu zilizomfanya kuchelewa kuchukua tuzo za MTV Europe (EMA) na kuchukua Desemba mwaka huu ni kuwa hazikuwa halisi.
Akizungumza na Amani, Diamond aliyepata tuzo katika vipengele vya Msanii Bora Afrika pamoja na Msanii Bora kutoka Afrika/India alisema kuwa tuzo hizo walitangazwa kushinda lakini...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tZM8_9kn4ck/U1McRJmJNDI/AAAAAAAFb5M/QoZ0wCzGO-Q/s72-c/378eaafc3187af1a497d39cbe8530651.jpg)
10 years ago
Bongo509 Sep
Diamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe, #MTVEMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wib7New*8449JzCm7vuy20o0qs5Uz5h3CUBFj8cGSALM8n0D9ziE8f5zLwVoZN1KorbvjGuzubDtva2JiDuw2NqvNUbobUQS/MTV.jpg?width=650)
DIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015