Diamond aingia mkataba na kampuni ya usimamizi na ushauri ya Nigeria, Upfront & Personal
Diamond Platnumz ameiangia mkataba na kampuni ya usimamizi na ushauri (management consultants) ya Nigeria, Upfront & Personal.
Upfront and Personal ni kampuni kubwa iliyojikita katika masuala ya mahusiano ya umma (public relations), media buying, celebrity endorsement na event management.
“DONE DEAL!!! you know how it is when you see Mr @pauloo2104 dollarmoneybagboomgun Cc @sallam_sk @ubifranklintriplemg #Nigeria,” ameandika Diamond kwenye picha aliyoweka Instagram ikimuonesha akisaini...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM22 Dec
Jokate aingia mkataba na kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China
Jokate amesema amefurahishwa kuingia kwenye mkataba na kampuni hiyo kwani mbali na masuala ya urembo pia kupitia brand yake anatarajia kuongeza ajira kwa akina mama kwani kitajengwa kiwanda ambacho kitatoa ajira kwao.
“Hii ni fursa kubwa kwetu Tanzania, nawashukuru sana vijana wenzangu ambao tulikaa na kubuni brand ya Kidoti, leo imenipa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kvO2fcU9Ows/VBNkeMtXqnI/AAAAAAAGjXo/hyxIpZYLbbs/s72-c/unnamed%2B(30).jpg)
TPDC, KAMPUNI ZA WENTWORTH, MAUREL & PROM WASAINI MKATABA WA KUUZIANA GESI
![](http://2.bp.blogspot.com/-kvO2fcU9Ows/VBNkeMtXqnI/AAAAAAAGjXo/hyxIpZYLbbs/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Alichosema Diamond Platnumz baada ya Jokate kuingia mkataba wa kibiashara na kampuni toka CHINA
Baada ya mwanadada Jokate kupitia kampuni yake ya KIDOTi kuingia mkataba mnono wa bidhaa zake na kampuni ya wachina, msanii Dimaond Platnumz amefunguka haya yafuatayo…
“..Kama muekezaji wa nje ameweza kuona Potential na kumuamini kidoti na kuamua kuwekeza kwenye bidhaa zake...kwanini sisi tusimuamini???.. nafikiri huu ni wakati muafaka wa kuanza kuthamini na kusupport brand zetu za nyumbani.. Hongera sana Kate... sema sasa ututolee bidhaa nzuri kweli, sio tena ukale hela za mchina wa...
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA TINGATINGA IMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA BRICOLEUR HOLDINGS Co.LIMITED YA JAPAN.
Makabidhiano ya Mkataba huo yamefanyika leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Kampuni ya Bricoleurholdings Co.Limited, Shoji Tsuchiya amemkabidhi mkataba huo Mwenyekiti wa Chama Cha Tingatinga, Zack Chimwanda, amesema kuwa kazi hii ya...
9 years ago
Mwananchi08 Sep
TIB yasaini mkataba wa usimamizi na Serikali
9 years ago
Bongo520 Nov
Producer C9 asaini mkataba wa usimamizi na Panamusiq
![C9](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/C9-300x194.jpg)
Producer wa muziki Charles Francis aka C9 ameasini mkataba wa muda mrefu wa usimamizi na kampuni ya Panamusiq Ltd.
Panamusiq wameandika kwenye taarifa kwa vyombo vya habari:
“Panamusiq is pleased to announce the signing of Tanzanian top producer C9 who has entered a long term management contract with the Dar based music company.”
Producer huyo ameungana na wasanii ambao tayari walikuwa wameingia kwenye usimamizi wa kampuni hiyo akiwemo Feza Kessy na Linah.
Ben Pol naye aliwahi kusaini na...
11 years ago
TheCitizen15 Feb
MONEY & YOU: How to deal with personal debt
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80738000/jpg/_80738901_damages.jpg)
VIDEO: #BBCtrending: Dr Damages: a personal view on Nigeria's elections
10 years ago
Dewji Blog14 May
Kampuni ya Tigo Tanzania yatangaza mwendelezo wa usimamizi
Kampuni ya Tigo Tanzania imetangaza kwamba Bw. Diego Gutierrez (pichani) amerejea kama Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania baada ya kumalizika kwa mkataba wa aliyekuwa akikaimu cheo cha Umeneja Mkuu Bi Cecile Tiano.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo, Bi Tiano amekuwa kwenye kampuni ya Tigo kama Kiongozi wa muda tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Amefurahia mafanikio makubwa aliyoyapata akiwa na kampuni ikiwa ni pamoja na kuzindua huduma ya Tigo Muziki na mtandao wa 4G, na...