DIAMOND AKUBALI MILLIONI ZA UKAWA

Mwandishi wetu Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekubali kuwa yupo tayari kupokea mamilioni ya fedha kwa ajili ya kumfanyia kampeni mgombea urais kupitia muunganiko wa vyama vya upinzani Bongo vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Ngoyai Lowassa, Ijumaa limenyetishiwa.  ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1J3PzOX ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 Oct
USA:Yaahidi dola millioni 212 Gaza
10 years ago
Dewji Blog11 Jan
Serikali yatoa shillingi millioni 21 Nzega mikopo kwa Vijana
Mwenyekiti wa Vijana Saccoss Nzega Bw. Emmanuel Mambo (watatu kulia) akiishukuru serikali kwa kuwapatia kiasi cha shillingi millioni 21 kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, kwa ajili ya mikopo ya vikundi vya vijana,hivi karibuni maafisa hao kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo.(Picha zote na Anitha Jonas – Maelezo, Nzega).
Na Anitha Jonas – Maelezo,Nzega
Serikali imewataka vijana kuitumia vyema mikopo wanayopata katika kuteketeza miradi mbalimbali ya kimaendeleo ili...
11 years ago
Vijimambo
MTOTO WA MILLIONI 50 MWANAAFA BAADA YA KUNYAKUA MILIONI 50 AUAMUA KUHAMIA DAR


10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tigo yatoa msaada wa millioni 30 Tshs kwa waathirika wa mafuriko mjini Kahama
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Bw. Ally Maswanya(kulia) akimkabidhi baadhi ya vyakula, vilivyio gharimu milioni 30 , Mkuu wa wilaya ya Kahama Bw. Benson Mpesya (kushoto) kwa ajili ya waathirika wa mafuriko, katika kijiji cha Mwakata, wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Kahama, Bw.Benson Mpesya akionyeshwa Baadhi ya vyakula na vifaa vilivyo gharimu milioni 30, na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Bw.Ally Maswanya, kama msaada kwa waathirika wa mafuriko, katika kijiji...
5 years ago
Michuzi
SAO HILL YAGAWA MICHE YA MITI MILLIONI MOJA KWA LENGO LA KUTUNZA MAZINGIRA.

Mhifadhi mkuu wa Shamba la Miti la Serikali Sao Hill Juma Mwita akiongea na waandishi wa habari akielezea kwa namna gani wanavyofanikiwa kutunza mazingira.

Mhifadhi mkuu wa Shamba la Miti la Serikali Sao Hill Juma Mwita akiongea na waandishi wa habari akielezea kwa namna gani wanavyofanikiwa kutunza mazingira.
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
ZAIDI ya miche ya miti milioni moja hugawiwa kwa wadau na wananchi mbalimbali wa wilaya ya Mufindi kwa lengo la kuendelea kuboresha mazingira ya misitu na wakala...
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Wateja wa Tigo sasa wanaweza kufurahia nyimbo millioni 36 kwenye simu zao za mkononi za smartphones
Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tigo Music( Tigo Kiboko Yako) ambayo itawawezesha wasanii wa ndani kuweza kupata kipato kwa kusikilizwa nyimbo zao kupitia simu za mkononi, pia itaambatana na tamasha kubwa litakalofanyika tarehe 24 mwezi huu viwanja vya Leaders Kinondoni.
Tigo Tanzania imetangaza uzinduzi wa Muziki wa Tigo ujulikanao kama “Tigo Music” kwa kushirikiana na Deezer, ambayo ni huduma ya kimataifa...
11 years ago
Michuzi02 Mar
MAHAFALI YA TATU YA SHULE YA SEKONDARI YA KAJUMULO GIRLS HIGH SCHOOL BUKOBA YAFANA, BW. JAMES RUGEMALIRA ATOA MILLIONI 200/-
10 years ago
Michuzi.jpg)
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUUU CHA ST.JOSEPH AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA MILLIONI 10/-