MTOTO WA MILLIONI 50 MWANAAFA BAADA YA KUNYAKUA MILIONI 50 AUAMUA KUHAMIA DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-qDQza6KfkbM/VDJMv0fwhqI/AAAAAAAAKp8/3MIk-T1dOAk/s72-c/Mwanaafa-Mwinzango-531.jpg)
Mwanaafa anasema kuwa kampuni ya Proin Promotions imemjengea mazingira mazuri ya kuishi kama nyota hivyo hata kama anapasi mtihani wake atahamia hapa kwani kazi ya kurekodi filamu ambayo ndio kazi anayoamini si rahisi kuifanya Mtwara, filamu ya TMT movie imeanza kurekodiwa na kinara ni Mwanaafa.
Mshindi wa shindano la kusaka vipaji la lillojulikana kwa jina la Tanzania Movie Talent (TMT) Mwanaafa Mwinzago, msanii huyo ambaye kwa sasa anaishi jijini Dar es Salaam baada ya kujinyakulia milioni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aGsIBoQ0cKnN3XB3RRFsB8gEzqvs0guFDoy-bR5-QUh08kzridOZIrr5*Ofmd5Lp7quzs0d917KzpYuwCUZLVoLwwVzIcLFW/breakingnews.gif)
MWANAAFA NDIYE MSHINDI WA MILIONI 50 ZA TMT
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
10 years ago
GPLKINARA WA TMT, MWANAAFA MWINZAGO ALIVYOONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50
10 years ago
Dewji Blog31 Aug
Mwanaafa Mwinzago aibuka Kinara wa shindano la TMT 2014 na kuondoka na kitita cha shilingi Milioni 50 za Kitanzania
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV.
Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City na...
10 years ago
MichuziMWANAAFA MWINZAGO AIBUKA KINARA WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014 NA KUONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50 ZA KITANZANIA
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-F-PG_4z16nc/XlkTjCp1FFI/AAAAAAACzpg/V2KUNvKBx30eI-sIzfnlPsIH8k_VaSf0wCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
VIONGOZI WATANO WATAMBULISHWA BAADA YA KUHAMIA CCM
![](https://1.bp.blogspot.com/-F-PG_4z16nc/XlkTjCp1FFI/AAAAAAACzpg/V2KUNvKBx30eI-sIzfnlPsIH8k_VaSf0wCLcBGAsYHQ/s1600/1.jpg)
Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David...
10 years ago
Bongo504 Feb
Beyonce na Jay Z kuhamia L.A kutoka New York, wamwandikisha Blue Ivy kwenye shule ya milioni 25 kwa mwaka
9 years ago
Bongo524 Nov
Fella aeleza kwanini amemshauri Berry Black kuhamia Dar
![f_13](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/f_13-300x194.jpg)
Meneja wa Mkubwa na Wanae, TMK Wanaume Family pamoja na Yamoto Band, Mkubwa Fella amesema amemshawishi msanii wake mpya Berry Black kutoka Zanzibar na kuhamia Dar es salaam ili kuwa karibu na vyombo vya bahari.
Mkubwa Fella, ameiambia Bongo5 kuwa uwamuzi wa Berry Black kuishi Dar, kutamsaidia msanii huyo kusambaza kazi zake vizuri kwa kuwa yupo karibu na vituo vya habari.
“Muziki ni popote lakini tatizo ni usambazaji, ndo maana tukaamua ahamie hapa Dar ili tuweze kusambaza kazi zake hata...
9 years ago
Bongo507 Nov
Producer Tiddy Hotter wa One Love Fx ya Mwanza atangaza kuhamia Dar na kufungua studio nyingine
![tiddy hotter](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/tiddy-hotter-300x194.jpg)
Producer aliyetengeneza singles kama ‘Listen’ ya Belle 9, ‘Mwambie Mwenzio’ ya stamina, ‘Nisome’ ya Godzila na G-nako na nyingine kadhaa, Tiddy Hotter ametangaza kuhamisha makazi yake jijini Dar es salaam kutoka jijini mwanza.
Tiddy ambaye anamiliki studio ya One Love FX ya Mwanza amesema kuwa pia anafungua studio nyingine Dar, na ile ya mwanza itaendelea kuwepo.
Producer huyo ameitaja sababu kubwa ya kurudi Dar ambako alianzia kabla ya kwenda kufungua studio Mwanza, “Nimeona nisogee...