Producer Tiddy Hotter wa One Love Fx ya Mwanza atangaza kuhamia Dar na kufungua studio nyingine
Producer aliyetengeneza singles kama ‘Listen’ ya Belle 9, ‘Mwambie Mwenzio’ ya stamina, ‘Nisome’ ya Godzila na G-nako na nyingine kadhaa, Tiddy Hotter ametangaza kuhamisha makazi yake jijini Dar es salaam kutoka jijini mwanza.
Tiddy ambaye anamiliki studio ya One Love FX ya Mwanza amesema kuwa pia anafungua studio nyingine Dar, na ile ya mwanza itaendelea kuwepo.
Producer huyo ameitaja sababu kubwa ya kurudi Dar ambako alianzia kabla ya kwenda kufungua studio Mwanza, “Nimeona nisogee...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi22 Mar
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
ECK kufungua studio Dar
ECK Production inatarajiwa kufungua studio Agosti mwaka huu kwa lengo la kukuza tasnia ya muziki wa Bongo flava na ile ya injili hapa nchini. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
BBC Swahili kufungua rasmi studio Dar
9 years ago
Bongo521 Dec
Shilole aingia studio na producer wa Yemi Alade, Selebobo
![Shilole na Selebobo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Shilole-na-Selebobo-300x194.jpg)
Staa wa muziki nchini, Shilole ameingia studio na producer wa hit single ya Yemi Alade (Johnny) Selebobo wa Nigeria kurekodi wimbo mpya.
Shilole ambaye yupo nchini Nigeria, ameiambia Bongo5 kuwa kila kitu kimeenda sawa na usiku wa Jumamosi waliingia studio.
“Tunaingia leo (Jumamosi) usiku studio. Nimezungumza naye nimemwonesha ngoma zangu na ametokea kupenda kazi zangu, kwahiyo kwa kifupi mashabiki wangu wategemee mambo mazuri hasa hasa kolabo,” alisema.
Shilole amesema safari yake ya...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/--G-UxeZKS1U/Vh-mBOv2hcI/AAAAAAAAhyw/E1ac5HbwUUw/s72-c/dar%2Bcoca%2B1.jpg)
COKE STUDIO YALETA BURUDANI DAR, MWANZA, ARUSHA NA MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/--G-UxeZKS1U/Vh-mBOv2hcI/AAAAAAAAhyw/E1ac5HbwUUw/s640/dar%2Bcoca%2B1.jpg)
9 years ago
Bongo510 Nov
Mc Galaxy wa Nigeria aingia studio kurekodi na producer Swizz Beatz (Video)
![MC-Galaxy and Swizz Beatz](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/MC-Galaxy-and-Swizz-Beatz-300x194.jpg)
Siku za hivi karibuni producer maarufu wa Marekani Swizz Beatz na mkewe Alicia Keyz wamekuwa wakipost video clips kwenye mitandao ya kijamii wakifurahia nyimbo za wasanii wa Afrika zikiwemo kazi za Diamond, MC Galaxy, Wizkid na wengine.
Mc Galaxy ameingia studio jijini New York, marekani kurekodi nyimbo mpya na producer huyo wa kimataifa Swizz Beatz ikiwemo remix ya wimbo wake ‘Sekem’.
MC Galaxy alipost picha akiwa studio na Swizz kwenye akaunti yake ya Instagram.
Katika video ya Swizz...
10 years ago
Bongo514 Sep
Exclusive: Nay wa Mitego amzawadia studio mpya producer wake Mr T Touch inaitwa ‘Free Nation Production’
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/--TxPMkL3dxQ/Xqf5TPT-6RI/AAAAAAAC4Hg/wZTegmj-CkgD5zP8HImDvka8h44o53HoACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
MBUNGE CHADEMA ATANGAZA KUHAMIA NCCRA MAGEUZI
![](https://1.bp.blogspot.com/--TxPMkL3dxQ/Xqf5TPT-6RI/AAAAAAAC4Hg/wZTegmj-CkgD5zP8HImDvka8h44o53HoACLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Mbunge wa Jimbo la Rombo, Joseph Selasini, leo Aprili 28, 2020 ametangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiunga na chama cha NCCR-Mageuzi baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge.
Jana, Selasini alidai kutengwa na wabunge wenzake wa chama chake cha CHADEMA ikiwemo kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa chama hicho ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe
9 years ago
Bongo528 Oct
Baba Levo apanga kufungua studio Kigoma