COKE STUDIO YALETA BURUDANI DAR, MWANZA, ARUSHA NA MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/--G-UxeZKS1U/Vh-mBOv2hcI/AAAAAAAAhyw/E1ac5HbwUUw/s72-c/dar%2Bcoca%2B1.jpg)
Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri. *************Onyesho la muziki la Coke Studio ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki wan je limeanza kurushwa nchini Jumamosi nchini kupitia luninga ya Clouds ikiwajumuisha wanamuziki Ally Kiba,Vanessa Mdee,Ben Pol na Fid Q ambao wanashirikiana na wanamuziki Wangechi,Maurice Kirya,Victoria Kimani na 2Face. Baada ya uzinduzi huo zilifanyika party za kukata na shoka katika viwanja...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hp6m8apOIrk/ViAJs2Q_dCI/AAAAAAAIAHc/IIHbvMVOz70/s72-c/dar%2Bcoka%2B6.jpg)
COKE STUDIO YALETA BURUDANI KINOMAAAAAAA
![](http://1.bp.blogspot.com/-hp6m8apOIrk/ViAJs2Q_dCI/AAAAAAAIAHc/IIHbvMVOz70/s640/dar%2Bcoka%2B6.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/--2E0AAi2yQU/ViAJt7szJBI/AAAAAAAIAHw/McO8msxU_aA/s640/dar%2Bcoke%2B4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-A1imH8-FuRk/ViAJuHmD8_I/AAAAAAAIAHs/hSBReq4twSE/s640/dar%2Bcoke%2B5.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lnKiKfzAj_0/ViAJwbr3ATI/AAAAAAAIAIA/MmFOMFeSb0w/s640/mwanza%2B5.jpg)
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
Coke studio yaleta burudani nchini
Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri.
-Mamia waburudika Coke Party mikoa ya Dar, Mwanza, Mbeya na Arusha
Onyesho la muziki la Coke Studio ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki wan je limeanza kurushwa nchini Jumamosi nchini kupitia luninga ya Clouds ikiwajumuisha wanamuziki Ally Kiba,Vanessa Mdee, Ben Pol na Fid Q ambao wanashirikiana na wanamuziki Wangechi,Maurice Kirya,Victoria Kimani na 2Face.
Baada ya uzinduzi...
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
Shangwe ya Coke studio yaleta furaha kwa wanafunzi mashuleni
Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Sunrise ya mjini Mwanza Janeth Malima akionyesha kipaji cha kucheza kwenye tamasha la Coke Studio lililofanyika shuleni hapo.
Wanafunzi wa shule za sekondari za Bwiru na Sunrise wakionyesha vipaji vyao vya kucheza na kuimba wakati wa tamasha la Coke studio.
Wanafunzi wakifuatilia burudani za tamasha la Coke Studio wakiburudika na kinywaji cha Coca-Cola.
Wanafunzi waliofika kwenye matamasha wakigawiwa kinywaji.
Wanafunzi wakipozi na kinywaji chao cha...
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
Shangwe za Coke Studio zaendelea kuleta burudani kwenye jamii
Mwanamuziki Fid Q akitoa burudani katika moja ya tamasha la Coke Studio.
Mwanamuziki Ali Kiba na Victoria Kimani wakiwa katika onyesho la Coke Studio.
Wasanii wa muziki wakitoa burudani katika moja ya tamasha la Coke Studio mkoani Mwanza.
Wanafunzi kuanzia shule za msingi nchini hadi vyuo vikuu wameshiriki kuonyesha vipaji vyao katika msimu huu wa Coke Studio kama wanavyoonekana katika moja ya tamasha la Coke Studio.
-Wanafunzi na vijana mitaani waendelea kupata burudani
Onyesho la...
10 years ago
GPLUZINDUZI WA COKE STUDIO AFRICA WAFAANA DAR
9 years ago
VijimamboVijana kutoka Dar washuhudia Coke Studio ‘live’ Nairobi.
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-fSwLO0jlpak/Vg28TFxOGvI/AAAAAAAD_Nc/RoSAHApw5po/s72-c/ALI%2BKIBA%2B-%2BVICTORIA%2BCoke%2BStudio%2B2015-Emailer%2B9%2BDays-01.jpg)
10 years ago
TheCitizen15 May
Coke Studio Africa season three is on
10 years ago
Vijimambo30 Oct