Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WATANO WATAMBULISHWA BAADA YA KUHAMIA CCM

Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wametambulishwa  leo na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama hicho Rais John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Ofisi Ndogo ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam.
Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro,  aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHAPATA MAAFA KIGOMA, MADIWANI WAKE WATANO WANG'OKA NA KUHAMIA CCM, LEO

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kagera katika Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe, Ismail Mahamudu  akizungumza mbele ya waandishi wa habari, baada ya yeye na madiwani wengine wanne wa chama hicho, kutangaza kung'oka ACT-Wazalendo.na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika mkutano na waandishi hao uliofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na...

 

5 years ago

Michuzi

CHADEMA YATIKISIKA KILOMBERO,VIONGOZI WAKE WAJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya Kilombero wamejivua uanachama wa Chadema hicho  na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Waliojivua uanachama wa Chadema ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara CHADEMA, Mashaka Mbilinyi, Diwani kata ya Mbasa ,Chiza  Shungu, Mwenyekiti wa kamati huduma za Jamii Ifakara, Digna Nyangile, Diwani Viti Maaalum Ifakara, Antony Mwampunga Kamanda wa Red Briged wilaya Kilombero, Clarens  Manyota na Baraka Masala.

Wanachama hao wapya...

 

5 years ago

CCM Blog

CHADEMA YAPATA MAAFA KILOMBERO,VIONGOZI WAKE WAJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM


Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Bushiru Ali akimpa mkono  Mbunge wa viti Maalum wa wilaya  ya kilombero Dkt.Getrude Lwakatare  wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya Chama hicho mkoani Morogoro wengine ni viongozi wa Mkoa wa Chama hicho.
Morogoro TanzaniaVIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya Kilombero wamejivua uanachama wa Chadema hicho  na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Waliojivua uanachama wa Chadema ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MTOTO WA MILLIONI 50 MWANAAFA BAADA YA KUNYAKUA MILIONI 50 AUAMUA KUHAMIA DAR


Mwanaafa anasema kuwa kampuni ya Proin Promotions imemjengea mazingira mazuri ya kuishi kama nyota hivyo hata kama anapasi mtihani wake atahamia hapa kwani kazi ya kurekodi filamu ambayo ndio kazi anayoamini si rahisi kuifanya Mtwara, filamu ya TMT movie imeanza kurekodiwa na kinara ni Mwanaafa.Mshindi wa shindano la kusaka vipaji la lillojulikana kwa jina la Tanzania Movie Talent (TMT) Mwanaafa Mwinzago, msanii huyo ambaye kwa sasa anaishi jijini Dar es Salaam baada ya kujinyakulia milioni...

 

5 years ago

CCM Blog

WANAFUZI WATANO WAFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA GARI

   Wanafunzi watano wa shule ya msingi Ndelenyuma,Ruvuma wamefariki Dunia na mmoja amejeruhiwa baada ya kugongwa na Land Cruiser lililokuwa likitokea Songea kwenda Madaba, Gari hilo liliacha njia na kuwagonga wanafunzi kisha likapinduka, Dereva aliyefahamika kwa jina moja la Salum ametoroka.

“Chanzo cha ajali iliyoua wanafunzi watano ni mwendo kasi wa Dereva wa Land Cruiser, hakujali mvua na utelezi, Gari likamshinda na kuwagonga Watoto pembezoni mwa Barabara wakadondokea mtaroni, watatu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mabadiliko sasa kuhamia CCM, bungeni

>Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vitalazimika kufanya mabadiliko katika safu zake za uongozi kutokana na athari zilizosababishwa na mabadiliko yaliyofanywa na Rais Jakaya Kikwete katika Baraza la Mawaziri.

 

10 years ago

GPL

WATANO WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI JIJINI MWANZA

Rashid Mkumba Hamis ambaye ni mmoja wa majeruhi aliyevunjika mguu. Majeruhi katika tukio hilo wakihojiwa na wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

Mwananchi

Panga la urais CCM kuhamia kwa wabunge

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema kitatumia ‘panga’ lilelile lililotumika kumpata mgombea wake wa urais katika kuchuja wagombea ubunge na udiwani kupitia vikao vyake halali ili kupata wagombea safi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani