Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAO HILL YAGAWA MICHE YA MITI MILLIONI MOJA KWA LENGO LA KUTUNZA MAZINGIRA.


Mhifadhi mkuu wa Shamba la Miti la Serikali Sao Hill Juma Mwita akiongea na waandishi wa habari akielezea kwa namna gani wanavyofanikiwa kutunza mazingira.
Mhifadhi mkuu wa Shamba la Miti la Serikali Sao Hill Juma Mwita akiongea na waandishi wa habari akielezea kwa namna gani wanavyofanikiwa kutunza mazingira.


NA FREDY MGUNDA,IRINGA.

ZAIDI ya miche ya miti milioni moja hugawiwa kwa wadau na wananchi mbalimbali wa wilaya ya Mufindi kwa lengo la kuendelea kuboresha mazingira ya misitu na wakala...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TFS YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA KWA KUGAWA BURE MICHE YA MITI KWA WAKAZI WA DAR

Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KATIKA kuepuka mikusanyiko kama sehemu ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19(Corona) , Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)umeamua kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti kitaifa kwa kugawa miche ya miti kwa wananchi.
TFS imegawa miche hiyo ya miti ya aina mbalimbali leo Aprili 1, mwaka 2020 jijini Dar es Salaam huku ikitoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam,Tanga na Pwani kutumia kipindi hiki cha mvua za masika kupanda miti kwa...

 

11 years ago

Michuzi

WAHANDISI TANESCO WATEMBELEA KIWANDA CHA SAO HILL KWA MAFUNZO KWA VITENDO JUU UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO

Wahandisi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) wanaonolewa katika kutambua nguzo bora za kusambazia umeme wameanza mafunzo ya vitendo ya ukaguzi na utambuzi wa nguzo bora na salama katika baadhi ya viwanda vya kuzalishia nguzo hizo mkoani Iringa. 
Ziara ya wahandisi hao wa TANESCO inalenga katika kuwawezesha katika kukabiliana na matumizi ya nguzo zisizo na ubora na ili kuongeza ufanisi na usalama katika zoezi la kusambaza umeme nchini.
Wahandisi hao wamepata fursa ya kutembela kiwanda cha Sao...

 

5 years ago

Michuzi

TFS SAO HILL:WADAU TUSAIDIE WATOTO YATIMA

Afisa Utumishi wa Shamba la Miti Sao Hill Felista Bayo akikabidhi msaada huo kwa msimamizi wa kituo cha watoto yatima cha SISI NI KESHO Picha ya watoto yatima na wafanyakazi wa kituo cha watoto yatima cha SISI NI KESHO wakiwa na baadhi ya wafanyakazi wa shamba la miti la Sao Hill Mufindi.
Naa Fredy Mgunda, MfindiWADAU mbalimbali wametakiwa kuendelea kuwachangia na kuwakumbuka Watoto wenye mahitaji maalumu na yatima kwa lengo la kuwafariji kwa kuwasaidia kupata mahitaji yao muhimu kama ambavyo...

 

5 years ago

Michuzi

SAO HILL: MAZIWA YA NYUKI YANA KINGA YA BINAADAM KUZEEKA



Mhifadhi wa shamba la Miti la Sao Hill kitengo cha Nyuki Wilayani Mufindi Said Abubakari moja kati ya mazao ya Nyuki katika shamba la miti la serikali ao Hill
Wavunaji wa mazo ya Nyuki katika shambva la miti la miti sao Hill Wilayani Mufindi

Baadhi ya waandishi mkoani Iringa wakifuatia zoezi la ufunaji wa mazao ya mdudu Nyuki


NA FREDY MGUNDA,MUFINDI.

WAKALA wa huduma za misitu Tanzania TFS kupitia shamba la miti la Sao hill Mkoani Iringa wanatarajia kuanzisha Mpango maalumu wa uvunaji wa sumu...

 

10 years ago

Vijimambo

GRL YAGAWA MCHE YA MITI MILIONI TANO KWA WANANCHI WA MABAONI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mufindi (DED), Saada Malunde (mwenye hijabu) akipata maelezo kutoka kwa mtaalum wa uzalishaji miche, Prosper Wilbright (pili kulia) ya jinsi Kampuni ya Green Resources Ltd inavyozalisha miche ya miti kitaalamu alipotembelea bustani hiyo ya kuzalisha miche mbalimbali iliyopo katika Kijiji cha Mabaoni wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa jana. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Mabaoni, Sailas Ndenga (kushoto) akipekea funguo ya...

 

5 years ago

Michuzi

SAOHILL WAGAWA MICHE MILIONI MOJA KWA WANANCHI

Wananchi wakiendelea kuchukua miche ya miti kutoka Tarafa ya Nne ya Shamba la Miti SaoHill - Mgololo.



NA FREDY MGUNDA,SAO HILL.

ZAIDI ya miche milioni moja imegawiwa kwa wananchi wa vijiji vinavyolizunguka shamba la Miti SaoHill katika musimu wa mwaka wa 2019/2020 kwa lengo la kuimalisha ujirani mwema ambao umekuwa umedumu kwa miaka mingi.

Zoezi la ugawaji miche ya miti kwa ajili ya ujirani mwema hufanyika kila mwaka kipindi cha masika kwa lengo la kuhakikisha wanapanda miti hiyo na inakuwa kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI APOKEA MICHE 500 YA MITI



Mwenyekiti wa Programu ya Tunandoto   wa pili  kushoto  Godlisten Koka  akimkabithi Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Monduli Anderson Ulaya    miche 500 ya miti kutoka katika uongozi  wa Programu  yao  inayotekelezwa kwa kushirikiana  na  kanisa la Free Pentecostal church of Tanzania-FPCT Monduli juzi (picha na WOINDE SHIZZA)   Na Woinde Shizza,MONDULI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli Stephen Anderson Ulaya jana amepokea miche 500 ya miti kutoka katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tunzeni mazingira kwa kupanda miti’

MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema, amewahimiza wananchi kushirikiana katika upandaji miti, ili kuzuia mmomonyoko wa ardhi, kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Mjema...

 

5 years ago

Michuzi

WILAYA YA MONDULI YAPOKEA MICHE 500 YA MITI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI


Vero Ignatus.

Mamlaka ya Misitu wilaya ya Monduli (TFS) imekabidhiwa Miche ya miti zaidi 500 ili kupambana na mabadiliko ya Tabia Nchi kutoka Mradi wa Tunandoto Tanzania Ulio chini ya Kanisa la FPCT.

Akikabidhi miti hiyo Mkurugenzi wa wilaya hiyo Stephen Ulaya amesema amekabidhi miche hiyo kwa Mamlaka ya Misitu Tanzania (TFS) wilaya ya Monduli ili kuelekeza miche hiyo katika maeneo yenye uhitaji ndani ya wilaya hiyo.

Ulaya amesema miche hiyo ya Miti wamepokea kutoka Mradi wa Tunandoto ulio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani