Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND ASHINDWA KUTOKEA KWENYE SHOW LONDON

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz. Kwa mara nyingine tena, mashabiki wa Diamond Platnumz wameshindwa kumuona akitumbuiza licha ya kumsubiria hadi saa 10 Alfajiri. Awamu hii imetokea jijini London, Uingereza katika show aliyoitangaza kwa kiasi kikubwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tofauti na Stuttgurt, Ujerumani ambako mashabiki walifanya uharibifu mkubwa, mashabiki wa London waliamua kuwa wapole tu na kurejea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Diamond ashindwa kutokea kwenye show London, mashabiki wamngonja hadi saa 10 alfajiri, amtupia lawama promota

Kwa mara nyingine tena, mashabiki wa Diamond Platnumz wameshindwa kumuona akitumbuiza licha ya kumsubiria hadi saa 10 Alfajiri. Awamu hii imetokea jijini London, Uingereza katika show aliyoitangaza kwa kiasi kikubwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tofauti na Stuttgurt, Ujerumani ambako mashabiki walifanya uharibifu mkubwa, mashabiki wa London waliamua kuwa wapole tu na kurejea […]

 

10 years ago

Vijimambo

Meneja wa Diamond Afunguka Kilicho Sababisha Diamond Asifanye show London Juzi Usiku

Kutokana na tukio hilo, Meneja wa mwanamuziki huyo, Hamis Taletale maarufu Babu Tale ambaye hakuambatana naye, aliliambia gazeti hili kuwa Diamond alipokea mwaliko kutoka kwa promota huyo, lakini hakulipwa fedha hata kidogo, jambo ambalo lilimfanya ashindwe kufanya uamuzi wowote.“Diamond alipofika Uingereza yule promota alimdaka juu kwa juu kwa kuwa kule alikwenda kwa ajili ya shoo ya Ujerumani itakayofanyika usiku wa leo (jana) akimtaka afanye shoo jijini London, Uingereza, alikubali na...

 

10 years ago

Habarileo

Mdee aenda kumzika Komba, ashindwa kutokea kortini

MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema, Halima Mdee jana alishindwa kufika mahakamani katika kesi ya kutotii amri halali ya Polisi inayomkabili na wenzake wanane, ikielezwa kuwa alikwenda kwenye maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi mkoani Ruvuma, Kapteni John Komba.

 

10 years ago

Dewji Blog

Yamoto Band kufanya Live Show kwa mara ya kwanza kwenye jiji la London

Screen Shot 2015-02-04 at 21.00.29

YAMOTO BAND  COMFIRMED will performing all their major hits including NITAJUTA, NISEME, WAMBEA, NITAKUPWELEPWETA and many more @ The Royal Regency Banquet Hall, Sat 21 Feb 2015 From 8pm to 3:30am, there are limited VIP Tables available book yours now for ultimate VIP treatment or individual place your booking early to avoid disappointment. Table bookings please call 07405824696/ WhatsApp +44755730494

info@bongodeejays.com or jestinageorge@gmail.com

Ukumbi wa Royal Regency ndio sehemu...

 

10 years ago

GPL

YAMOTO BAND KUFANYA LIVE SHOW KWA MARA YA KWANZA KWENYE JIJI LA LONDON‏

YAMOTO BAND COMFIRMED will performing all their major hits including NITAJUTA, NISEME, WAMBEA, NITAKUPWELEPWETA and many more @ The Royal Regency Banquet Hall, Sat 21 Feb 2015 From 8pm to 3:30am, there are limited VIP Tables available book yours now for ultimate VIP treatment or individual place your booking early to avoid disappointment. Table bookings please call 07405824696/ WhatsApp +447557304940…
...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Diamond alipotumbuiza kwenye ‘African Unplugged’ iliyofanyika London (Sept 14)

Diamond Platnumz jana (September 14) alishare jukwaa moja na mastaa wa Nigeria Davido na Tiwa Savage katika show kubwa ya ‘African Unplugged’ iliyofanyika kwenye ukumbi wa 02 Academy Brixton jijini London, Uingereza. Kituo cha televisheni BET International chenye makao yake makuu London, Uingereza walikuwa wakishare matukio (live) ya kilichokuwa kinaendelea jukwaani kupitia akaunti yao ya […]

 

10 years ago

Bongo5

Tazama picha ambazo hujaziona kutoka kwenye show ya Diamond, Rwanda

Diamond Platnumz amefanikiwa kupiga show ya kufa mtu jijini Kigali katika siku ya mwaka mpya, January 1. Diamond alitumbuiza na live band na alipewa support na muimbaji wa Yamoto Band, Aslay. Kwenye show hiyo, Diamond alisindikizwa na wasanii wakubwa wa huko wakiwemo King James, Urban Boyz, Jay Polly na Knowles. Hizi ni picha za show […]

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI NDIYO HII ALIKIBA NA DIAMOND KWENYE SHOW YA TIGO LEADERS

Jana ucku pale leaders! Mtoto wa tandale kwa MASELA walimrushia chupa za maji yeye akawarushia HELA wafanye nauli wakalale na njaa huku wana bifu nawaita wasela njaa.
 Kiba 4ril waliotaka kuanza kumrushia MAKOPO akawatuliza kwa bonge la show lililojaa ril VOKAL siku hizi anajua kudance pia, Mwisho wa siku wote wako poa kuna tofauti kati ya USHINDANI na BEEF wa tz wengi hatuelewi, ikifa SIMBA timu YANGA itacheza na nani? BE GUD!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani