Diamond asipotoa collabo yake na Ne-Yo mwaka huu Je ‘Utampenda’?
Mashabiki wa Diamond Platnumz wanasubiri kwa hamu atoe wimbo wa kufungia mwaka, na matarajio ya wengi ni kuisikia collabo yake na staa wa Marekani Ne-Yo, lakini swali ni je ikitokea amebadili mawazo ya kuitoa mwaka huu collabo hiyo bado ‘Utampenda’?
Majibu ya swali hilo yatajulikana ijumaa hii Dec.11 ambapo platnumz anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Utanipenda?’. Hii inamaanisha kwamba mashabiki wenye kiu ya kuisikia collabo ya Ne-Yo watalazimika kuendelea kuvuta subira.
Good News to My...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo525 Feb
Davido asema hatafanya collabo na msanii yeyote mwaka huu
10 years ago
GPLDIAMOND ATWAA TUZO YA COLLABO BORA YA MWAKA AUSTRALIA
10 years ago
Bongo504 Feb
Diamond kuachia nyimbo 4 mfululizo kabla ya March, ikiwemo collabo yake na Fally Ipupa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vlKUFPodnGV8Rp6qG*11lDKqoOOwYfjF0rehXz-i7HmsmwhLCZOH8o04ANuEpUgCRMjpMi9eHJ7aQTOaLUr1FY0Lrttf3HRQ/diamondnazari.jpg?width=650)
DIAMOND: TAYARI NIMEMVALISHA PETE YA UCHUMBA ZARI, KUINGIA KATIKA NDOA MWAKA HUU
10 years ago
Bongo Movies29 Dec
Faiza Aelezea Magumu Aliyopitia Mwaka Huu,Likiwemo Swala la Ndoa Yake Kuota Mbawa
Mwigizaji wa filamu, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto mmoja aliezaa na Mh.Joseph Mbilinyi “Sugu” ameelezea ni kwajinsi gani mwakuu mabao yalivyo muendea vijabaya ikiwemo kupeperuka kwa ndoa yao, lakini sasa anajipanga kuanza vyema mwakani.
Wakati huu mwaka unaanza, nakumbuka nilikua Mbeya mwezi January ilikua ni baada ya kumbatiza Sasha wakatti wa Christmas,wakati huo nilikua na matumaini makubwa sana pia tulikua tumepanga ndoa yetu iwe mwezi wa tano na ni kwa sababu ni siku ya kuzaliwa...
9 years ago
Bongo510 Nov
Diamond: Nyimbo na Video ninazoenda kuachia mwaka huu zitakuwa ni historia hadi siku ntapozikwa!
Diamond ni miongoni mwa wasanii ambao waliahidi kuachia kazi mpya baada ya uchaguzi, na kati ya kazi alizofanya, inayosubiriwa kwa hamu zaidi ni wimbo aliomshirikisha staa wa RnB kutoka Marekani, Ne-Yo.
Mpaka sasa bado haijafahamika ni wimbo/nyimbo gani atakazotangulia kuachia, kutokana na style yake ya kufanya vitu kimya kimya mpaka dakika za mwisho akiwa na kila kitu mkononi ndio huwa anaanza kutoa ishara.
Platnumz jana (Nov.9) aliandika post ambayo ni kama ishara ya kuwaandaa mashabiki...