Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND, ROMY JONES TANGU 'LONG TIME' KITAMBO

Na Musa Mateja
Kwa sasa tunapozungumzia mastaa wa muziki wanaofanya vizuri hapa Bongo, jina la Nasibu Abdul ‘Diamond’ lazima litachukua nafasi ya kwanza kisha wengine watafuata. Ni kijana anayejituma sana na jitihada zake hizo zimemfanya awe maarufu barani Afrika. Picha tofauti wakati wa utoto wao. Nyuma ya mafanikio ya Diamond wapo watu wengi. Mwenyewe amekuwa akimshukuru sana mama yake, Sanura Kassim...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond, Romy Jones watibuana

uamed Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,.

MUSA MATEJA
Kimenuka! Mbongo-Fleva mwenye taito kubwa Afrika kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kutibuana na kaka yake, Romy Jones ‘Romy Jons’, kiasi kwamba hata mawasiliano ya simu hayapo kama ilivyokuwa zamani.

Hivi karibuni chanzo makini kimeliambia gazeti hili kwamba, Diamond na kaka yake huyo ambaye ni mtoto wa mama yake mdogo wamefikia hatua ya kutoongea na hata kuambatana katika kazi zao kama ilivyokuwa mwanzo ambapo Romy Jons ndiye...

 

10 years ago

GPL

WEMA, DIAMOND WANADAIWA KUFANYIANA 'TIMINGI' YA KUMWAGANA!

Diamond..Mh! Upepo mbaya unaivumia kapo ya mafahari wawili Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambapo wanadaiwa kufanyiana ‘taimingi’ ya kumwagana, Ijumaa Wikienda linakupa ‘ubuyu’ kamili. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu makini, wawili hao wamepotezeana kwa muda mrefu huku kila mmoja...

 

11 years ago

GPL

KAN'TANGAZE: MAMA'KE DIAMOND ANASWA NYUMBANI KWA WEMA

Na Waandishi Wetu KANTANGAZE! Hiyo ndiyo kauli pekee inayoweza kuakisi picha za tukio la Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akiwa na ‘mkwewe’, Sanura Kasimu ‘Sandra’ wakiwa pamoja nyumbani kwa staa huyo wa filamu Bongo, Kijitonyama jijini Dar. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akimnawisha Diamond Platinum kwa ajili ya kupata futari. Kwa mara ya… ...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND 'AMAZING' SHOO YAKE ALIYOFANYA LONDON YAACHA GUMZO

Musa Mateja
AMAZING! Hiyo ndiyo kauli pekee unayoweza kuitamka kuakisi shoo baab’kubwa aliyoifanya mkali wa wimbo wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’, London, Uingereza, Risasi Mchanganyiko linakujuza zaidi. Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ akipagawisha wakazi wa jiji la London. Shoo hiyo iliyoacha gumzo la aina yake nchini humo kutokana na kupata idadi kubwa ya mashabiki, ilifanyika...

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani