DIAMOND WALEO HUKU NDIKO ALIKOTOKA
siku moja wakati Naseeb hajatoka alikuwa golini anauza mitumba akapita Kiba alitamani siku moja awe kama Kiba au Blue. Now ndoto yake imetimia, hii yote sababu yakujituma. Nakumbuka kuna siku Tuddy Thomas aliniambia Chibu alipiga mazoezi studio mpaka sa tisa usiku mpk akapitiwa na usingizi,kwanini asifanikiwe? Ukiniuliza nani zaidi ntasema wote, Kiba ni mkali sana kwa utunzi na vokal akiimba live kwa steji & Chibu na dancer wake wanatifua steji na ni mtunzi na anachana pia ....
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-v2uR3amDviE/VcNeGLH6uEI/AAAAAAAD2hM/FQh1n16X9zQ/s72-c/34203fcb5b41cdf6df86a3e7c41dca62.jpg)
10 years ago
Vijimambo16 Jan
UNAJUA WATOTO WATATU WA DEMU WA DIAMOND ZARI__WAONE HAPA__PIA KAWAJIBU WALE WANAOSEMA ANAKULA BATA TU NA DIAMOND HUKU KAWAACHA WATOTO WAKE WANATESEKA
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/924422_753949534690828_37790630_n.jpg)
10 years ago
Vijimambo01 Feb
DIAMOND, ZARI NDANI YA RUVUMA HUKU SHEREHE YA MIAKA 38 YA CCM AINOGESHA VILIVYO
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/11.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/22.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/31.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Bnb1irzakeM/default.jpg)
10 years ago
VijimamboKIJANA AKOTWA HUKU KANISA NYASUBI KAHAMA HUKU IKIWA HAWEZI KUONGEA VIZURI
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-sePHT-Eu2jI/VKq1THSpipI/AAAAAAAAaJ0/pllBMBgQOLA/s72-c/D.png)
PESA NOMA HATIMAYE DIAMOND AGEUZWA BUSHOKE NA ZARI...ABEBESHWA POCHI HUKU BAUNSA WAKE AKIMCHEKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-sePHT-Eu2jI/VKq1THSpipI/AAAAAAAAaJ0/pllBMBgQOLA/s640/D.png)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/ydVYqKy_x90/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rmXYUUaLByI/XmK6Osgf1GI/AAAAAAALhp4/PcsnuZsbCCUtykIntqWcnlyMvR4sZVRUACLcBGAsYHQ/s72-c/20ea8236-4b99-4398-b111-c7c37781d7e7.jpg)
MAJALIWA: MKURUGENZI WA BODI YA MKONGE ARUDISHWE ALIKOTOKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-rmXYUUaLByI/XmK6Osgf1GI/AAAAAAALhp4/PcsnuZsbCCUtykIntqWcnlyMvR4sZVRUACLcBGAsYHQ/s640/20ea8236-4b99-4398-b111-c7c37781d7e7.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/2acf0bde-d15e-4867-92de-4581870ca5bf.jpg)
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
PICHA: Timbwili Mitandaoni, Diamond Akiwa na Zari Huku Wema Akiwa na Ommy
Kweli mafahari wikigombana nyasi ndio uumia! Picha za mwanamziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandao usiku wa kuamkia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingreza kuwa wanaelekea siku ya Valentine “Road to Valentine...”
Zilizua timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia “Project hii” na wale wa Wema aka TeamWema walikuwa wakiponda na kumshabulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa...