Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dickson Marwa; Riadha imesaidia familia yangu

Nimezaliwa miaka 32 iliyopita kijiji cha Kenyamsambi kilichopo wilayani Tarime mkoani mara, nikiwa mtoto wa kwanza kati ya watoto 10 kwenye familia ya Dickson Mkami,” anasema mwanariadha wa mbio ndefu Dickson Marwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dickson Marwa: Nilianza kulea familia nikiwa shule

“Hakuna ubishi kwamba ukiweka juhudi kwenye michezo mafanikio yapo, familia yangu ina historia kubwa bila mimi kuwa mwanariadha sijui leo hii tungekuwa wapi.”

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wako wapi watoto wangu, familia yangu?’

>Ama kweli ajali haichagui maskini wala tajiri.  Inasikitisha kwani ni mwanamke asiye na uwezo anayeishi kufanya biashara ya kuuza ndizi anazotembeza barabarani.  Hata hivyo, hivi sasa maisha yake yamezidi kuwa magumu kwa kuwa hajui familia yake ilipo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Ubaguzi wa rangi: ‘Je, Familia yangu itamkubali mpenzi wangu mweusi?’

Mapenzi kati ya watu weusi na watu wa asili ya Asia yapo lakini mara zote yanakutana na vipingamizi vingi.

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer: ‘Muziki ni mkombozi kwenye familia yangu’, haya ni mafanikio aliyoyapata hadi sasa

Kwa Young Kiler muziki ni mkombozi mkubwa si tu kwake binafsi, bali pia kwa familia yake nzima. “Muziki ndio umefanya hadi sasa hivi familia yangu inaendelea kusurvive,” Young Killer alikiambia kipindi cha Chill na Sky. “Muziki ndio unatoa hata mtaji kwa dada zangu na mama yangu sasa hivi namjengea nyumba na ipo katika hatua nzuri. […]

 

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MICHEZO YA RIADHA YA DAR ES SALAAM ‘DAR RUNNING CLUB’ YAANDAA MASHINDANO YA RIADHA YA MARATHON 02 MAY 2015

Klabu ya michezo ya riadha ya Dar Es Salaam “Dar Running Club” (DRC) imeandaa mashindano  ya  mbio yajulikananyo kama “Mayday marathon” yatakayofanyika tarehe 02Mei 2015 yatakayoanza na kumalizika katika viwanja vya Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay (Police Officers Mess). Mgeni rasmi atakuwa ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania  Inspekta Generali wa Police Ernest Jumbe Mangu (IGP).
Akizungumza na waandishi wa habari Mlezi wa Klabu ya DRC Mkuu wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni bwana Camillus...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND: MITANDAO YA KIJAMII IMESAIDIA KAZI ZANGU KUWAFIKIA MASHABIKI DUNIA NZIMA

Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz mwenye ‘followers’ 489,881, kwenye twitter watu laki 131, na Instagram watu 291,643, You Tube ‘subcribers’ 76,134.Hii inamaanisha Diamond ni msanii na Mtanzania wa kwanza mwenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii maarufu.

Pia Diamond amefunguka jinsi mitandao ya kijamii inavyomsaidia katika kuuutangaza muziki wake na lebo yake kwa kumsogeza karibu zaidi na jamii ya watu wanaotumia mitandao hiyo dunia nzima.

 

9 years ago

TheCitizen

Marwa gears for Olympics qualification

Famous distant runner in the country, Dickson Marwa has decided to focus in marathon and not the 10,000m and 5,000m races that he used to play due to some technical reasons.

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

12292738_1516860355279681_1179389451_n

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.

FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.

“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.

“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.

“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Marwa, Sakilu watesa mbio za taifa 

WANARIADHA Dickson Marwa na Jackline Sakilu, wameibuka washindi wa mbio za taifa mwaka huu katika mita 10,000 na 5,000 zilizoanza kutimua vumbi jana katika Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani