Diddy anunua na kuhamia kwenye nyumba ya thamani ya shilingi bilioni 66!
Diddy anahamia kwenye maeneo ya watu wazito jijini Los Angeles. Mtandao wa TMZ umedai kuwa staa huyo amenunua nyumba katika maeneo hayo yenye thamani ya dola milioni 40 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 66. Ipo maeneo ya Holmby Hills karibu na eneo alilofariki Michael Jackson. Nyumba hiyo ina vyumba vinane vya kulala na mabafu […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo515 Dec
Picha: Mayweather anunua saa yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2
![1214-floyd-mayweather-tmz-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1214-floyd-mayweather-tmz-2-300x194.jpg)
Floyd Mayweather amefanya yake tena.. Bondia huyo bingwa wa kuchezea hela, amenunua saa ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 1.1 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 2.
Ameinunua saa hiyo kwenye safari yake ya Dubai.
Mwakilishi wake ameiambia TMZ: The watch is roughly $1.1 million. This is just one of his big purchases.”
Saa hiyo ni ya chapa ya Hublot ambayo imezungushiwa almasi.
Inasemekana kuwa Floyd ametumia zaidi ya dola milioni 1.5 katika siku mbili alizokaa Dubai.
Hii ni mara ya...
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Benki ya DTB Tanzania yauza hisa zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30!
10 years ago
Bongo506 Dec
Beyonce na Jay Z kununua mjengo huu, una thamani ya shilingi bilioni 145 (Picha)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2H8884V-daI/VeW9Bhrp-8I/AAAAAAAAYfI/TRnsIkboma4/s72-c/b9.jpg)
MGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU, BGML, WAKABIDHI MIRADI YA THAMANI YA SHILINGI BILIONI MOJA WILAYA YA MSALALA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-2H8884V-daI/VeW9Bhrp-8I/AAAAAAAAYfI/TRnsIkboma4/s640/b9.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-7jlvE4utUDI/VeW9EUFIc6I/AAAAAAAAYfY/7Qy7TYjidNo/s640/b1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog29 May
Mwenge wa Uhuru wazindua magari mapya ya kampuni ya Green Waste Pro Ltd yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika Mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala yanayomilikiwa na kampuni ya Green WastePro ltd.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza jambo mara baada ya Mwenge wa Uhuru kufika eneo la Kisutu jijini Dar kwa ajili ya ufunguzi wa Magari ya kisasa ya kuzoa taka.
Kiongozi wa mbio za...
10 years ago
VijimamboMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Mradi wa Mwanamke Mwezeshe wa WAMA wakopesha wanachama wa vikundi vya Hisa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo , Nachingwea
Jumla ya mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9 zimetolewa kwa wanachama wa vikundi vya kukopa na kuweka akiba vilivyopo chini ya mradi wa Mwanamke Mwezeshe unaosimamiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).
Hayo yamesemwa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja wa kuanzishwa kwa vikundi vya mradi wa Mwanamke...
10 years ago
GPLMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-baSezXflmy4/XvBrE-tZeNI/AAAAAAALu3I/5L5VsrrqQw87hI3wa9x6KAUTQ0tmWSWzACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-22%2Bat%2B9.32.34%2BAM.jpeg)
SERIKALI YAJENGA MAABARA YA KISASA YA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA BINADAMU YA KUAMBUKIZWA YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI TISA MKOANI KILIMANJARO
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imejenga Maabara ya Kisasa ya uchunguzi wa magonjwa ya binadamu ya kuambukiza yenye thamani ya shilingi Bilion tisa katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Maabara hiyo ikiwa inaelekea kukamilika ili kuanza kutoa huduma za uchunguzi wa...