Didier Kavumbagu amtaja Mnigeria aliyemuuzia silaha
![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeCVduabh7JAkadb9KjSA7FPOsNFB6DsyAOc8XbE8tKZg5y88qsopbb18D8C4cGrWV5RKER0-CNMKr8Lp-MFnGWW/kavumbagu.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu. Na Hans Mloli MSHAMBULIAJI wa Yanga, Didier Kavumbagu anayeonekana kuwa kwenye kiwango kizuri hivi karibuni, amefunguka kuwa mafanikio hayo anayoyapata yanatokana na kupikwa na mshambuliaji wa Nigeria, John Utaka. Kavumbagu, raia wa Burundi ameifungia Yanga mabao manne kwenye mechi tatu za mwisho walizocheza huku akifanikiwa kucheza kwa kiwango kikubwa kwenye mechi hizo huku...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jul
Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/83210000/jpg/_83210770_didiersix.jpg)
Didier Six sacked as Mauritius coach
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80037000/jpg/_80037201_451570549.jpg)
Gabon's Didier Ndong signs for Lorient
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Didier Drogba astaafu soka ya kimataifa
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Ndoto ya Didier Drogba nchini Brazil
11 years ago
Bongo508 Aug
Didier Drogba astaafu kucheza soka la kimataifa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOqVa2lSzWDgaDbobnDCeEitbYcy-X*vNav0C2pTAk8WUwTnT4AWNMTZ54YpbrslGIa2bFML-Td3HWx*hzta25Ml/jokate.jpg)
MNIGERIA AOZA PENZI LA JOKATE
11 years ago
Habarileo12 Jun
Mnigeria kizimbani dawa za kulevya
RAIA wa Nigeria, Anthony Okafor (52) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani ya Sh milioni 124.4.
11 years ago
BBCSwahili01 Aug
Tineja Mnigeria kupokonywa dhahabu