Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Didier Six sacked as Mauritius coach

The Mauritius FA confirms Frenchman Didier Six has been sacked as coach of the national team after going missing following the Cosafa Cup.

BBC

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBC

Krol sacked as coach of Esperance

Ruud Krol is sacked by Esperance after a second defeat in the African Champions League group phase, as Desabre takes over the helm.

 

10 years ago

BBC

Gabon's Didier Ndong signs for Lorient

Gabon international Didier Ndong signs a four-and-a-half-year deal with French Ligue 1 side FC Lorient from Tunisian side CS Sfaxien.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndoto ya Didier Drogba nchini Brazil

Ivory Coast ina kibarua dhidi ya Ugiriki kutaka kunyakua nafasi katika timu bora 16. Drogba anasimulia ndoto yake

 

11 years ago

BBCSwahili

Didier Drogba astaafu soka ya kimataifa

Mchezaji soka maarufu wa Ivory Coast Didier Drogba, ametangaza kustaafu soka ya kimataifa.

 

11 years ago

GPL

Didier Kavumbagu amtaja Mnigeria aliyemuuzia silaha

Mshambuliaji  wa Yanga, Didier Kavumbagu. Na Hans Mloli
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Didier Kavumbagu anayeonekana kuwa kwenye kiwango kizuri hivi karibuni, amefunguka kuwa mafanikio hayo anayoyapata yanatokana na kupikwa na mshambuliaji wa Nigeria, John Utaka. Kavumbagu, raia wa Burundi ameifungia Yanga mabao manne kwenye mechi tatu za mwisho walizocheza huku akifanikiwa kucheza kwa kiwango kikubwa kwenye mechi hizo huku...

 

11 years ago

Bongo5

Didier Drogba astaafu kucheza soka la kimataifa

Mshambuliaji wa Chelsea, Didier Drogba leo (Agosti 8) ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa na timu yake ya Ivory Coast, lakini ataendelea kuichezea timu yake ya Chelsea. Drogba mwenye miaka 36, aliichezea timu yake ya taifa michezo 104 na kufanikiwa kufunga magoli 60. “Kwa masikitiko makubwa nimechukua uamuzi kwa kustaafu soka la kimataifa” Drogba aliandika […]

 

10 years ago

Vijimambo

DIDIER DROGBA AJIUNGA NA KLABU YA MONTREAL IMPACT YA CANADA

doBaada ya kumaliza mkataba wake na Chelsea, mshambuliaji wa Ivory Coast, Didier Drogba amesaini mkataba wa miezi 18 wenye thamani ya dola milioni tatu kwa mwaka na klabu ya Montreal Impact inayoshiriki ligi kuu ya Marekani na Canada, Major League Soccer.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 aliondoka Stamford Bridge baada ya kuichezea timu hiyo mechi 381 na kushinda makombe manne ya Premier League.Rais wa klabu hiyo yenye makazi yake nchini Canada, Joey Saputo alisema kumchukua mshambuliaji...

 

11 years ago

GPL

DIDIER DROGBA AREJEA CHELSEA, ASAINI MWAKA MMOJA

Drogba baada ya kurejea kundini. Didier Drogba wakati akifanyiwa vipimo (kushoto). Kulia akisaini mkataba wa mwaka mmoja Chelsea.…

 

9 years ago

Bongo5

Video: Didier Drogba na wenzake wakicheza ‘Selfie’ ya Koffi Olomide

didier-drogba

Wimbo wa msanii mkongwe DR Congo, Koffi Olomide, Selfie unazidi kushika umaarufu kila kukicha na kupendwa na watu wa rika tofauti tofauti duniani.

Didier Drogba ambaye ni mshambuliaji wa klabu ya Montreal Impact ya nchini Canada, ni miongoni mwa watu waliovutiwa na wimbo huo.

Drogba na wenzake walionekana wakicheza wimbo huo katika vyumba vya kubadilishia nguo vya klabu ya Montreal baada ya kumalizika kwa mechi ya ligi ya Marekani ‘MLS’

Wimbo huo upo kwenye albamu mpya ya Koffi Olomide,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani