Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dimba la afrika 2015:Nigeria ina kibarua

Bingwa mtetezi Nigeria imekumbwa na changamoto uwanjani na nje ya uwanja, hali ambayo huenda ikaathiri nafasi yake kutetea ubingwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanzanite ina kibarua kwa Sauzi

Tanzanite ikishinda leo na mechi ya marudiano itafuzu Fainali za Kombe la Dunia nchini CanaTimu ya soka ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20, ‘The Tanzanite’, leo inashuka uwanjani kupambana na Afrika Kusini katika mchezo wa kutafuta tekiti ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani nchini Canada.da mwakani

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema inafanya kila iwezalo kuzuia wapiganaji wa ISIL kuudhibiti mji wa Syria Kobane.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria na USA kukutana katika dimba

Mabingwa wa Africa; Nigeria wamepangwa katika kundi la kifo la Kombe la dunia la wanawake mwaka 2015 Canada.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya michuano ya dimba la Afrika

Nigeria wameicharaza Congo Brazaville 2-0 siku ya jumamosi ili kuimarisha matumaini yake ya kufuzu katika dimba la Afrika

 

10 years ago

Vijimambo

Matokeo ya michuano ya dimba la Afrika-BBC

Mabingwa watetezi wa kombe la Afrika Nigeria wameicharaza Congo Brazaville 2-0 siku ya jumamosi ili kuimarisha matumaini yake ya kufuzu katika dimba la Afrika mwaka 2015 huku Afrika kusini na Cameroon zikifuzu katika kinya'nganyiro hicho.

Afrika kusini iliichapa Sudan 2-1 katika mechi yao ya kwanza tangu kuuawa kwa mlinda lango wake Senzo Meyiwa ili kuongoza kundi la Da.

Zambia nayo iliinyamazisha Mozambique 1-0 mjini Moputo kufuzu na katika kundi Fa pamoja na viongozi wa kundi hilo Cape...

 

11 years ago

BBCSwahili

Je Marekani ina nafasi gani barani Afrika?

Rais Barack Obama anakutana na viongozi wa Afrika katika mpango wake wa kuimarisha ushirikiano wa uchumi na biashara

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa ina fursa ya kung’ara zaidi 2015

Muungano wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) huenda ukapata nafasi kubwa katika Uchaguzi Mkuu 2015, utafiti mpya wa Taasisi ya Twaweza umebanisha.

 

9 years ago

Bongo5

Nimefanya utafiti, nimegundua Tanzania ina wasanii bora Afrika — Seyi Shay

Muimbaji mrembo wa nchini Nigeria, Seyi Shay, amedai kuwa kupitia utafiti aliofanya, amegundua kuwa Tanzania ina wasanii wakali. Seyi Shay anayefanya vizuri sasa na wimbo wake, Right Now amesema hayo wakati akiongea na Diva kwenye kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM wiki iliyopita. “Nimekuwa nikifanya utafiti wangu, nyie [Tanzania] mna wasanii bora Afrika, […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Je utatazamia wapi dimba la dunia ?

Mwaka 2010 mashabiki wa soka Uganda walishambuliwa wakitazama fainali za kombe la dunia katika uwanja wa Kyadondo mjini Kampala.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani