Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzanite ina kibarua kwa Sauzi

Tanzanite ikishinda leo na mechi ya marudiano itafuzu Fainali za Kombe la Dunia nchini CanaTimu ya soka ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20, ‘The Tanzanite’, leo inashuka uwanjani kupambana na Afrika Kusini katika mchezo wa kutafuta tekiti ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani nchini Canada.da mwakani

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema inafanya kila iwezalo kuzuia wapiganaji wa ISIL kuudhibiti mji wa Syria Kobane.

 

10 years ago

BBCSwahili

Dimba la afrika 2015:Nigeria ina kibarua

Bingwa mtetezi Nigeria imekumbwa na changamoto uwanjani na nje ya uwanja, hali ambayo huenda ikaathiri nafasi yake kutetea ubingwa

 

9 years ago

Vijimambo

Tanzanite: The hidden treasure of Tanzania We arrive at Tanzanite One on a cool September morning.


The global tanzanite market is only worth $50m
The drive from the nearest town, Arusha, was not too long, but the last stretch on a gravel road littered with ditches made the hairs on the back of my neck stand up.
Once we got to the mine, we were given an induction and a quick briefing on the safety rules. After that we were off to the actual shaft, where we were allocated overalls, helmets and yellow plastic boots.
When I saw the contraption that would carry us 460 metres (yards) below ground,...

 

10 years ago

GPL

KAJALA: NINA KIBARUA KIGUMU KWA PAULA

Imelda Mtema
Kazi kwelikweli! Mkali wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka kuwa kwa umri aliofikia mwanaye, Paula Paul wa miaka 14 ana kibarua kigumu cha kuhakikisha anakuwa salama hasa kwenye suala la wanaume.
...

 

9 years ago

Michuzi

KWA VIGEZO HIVI WE SI KIBARUA NI MUAJIRIWA KISHERIA

   Na  Bashir  Yakub MAKALA  haya  yataeleza   tofauti  kati  ya  kibarua  na  ajira  ili  isiwe  unaitwa  kibarua  kumbe  kisheria  umeajiriwa  na  unastahili  stahiki  zote  za  kiajira. 
Wako  watu  wengi  wanafanya kazi  lakini  hawajui  wanafanya  kazi  katika  mwavuli  upi yawezekana  mtu  akawa  amefanya  kazi  miaka  mingi  lakini  bado  kazi  anayofanya  haitambuliki  anaifanya  kama  nani.   
Na  mara  nyingi  hii  hujitokeza  katika  kazi  zile   ambazo  si  za  kitaaluma, Kazi ...

 

9 years ago

Mwananchi

Kibarua cha kuboresha elimu kwa Serikali ya Dk Magufuli

Kesho kutwa,  Dk John Magufuli ataapishwa kuwa  Rais wa awamu ya tano, akiwa amebeba ahadi nyingi kwa Watanzania ikiwamo ile ya Serikali yake kutoa elimu bure kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne.

 

10 years ago

Bongo Movies

Huu Ndio Wito wa Mtunis kwa Watanzania Waishio ‘SAUZI’

Utani Kidogo: Kufuatia kile kinachoendelea kule Afrika Kusini,  na tamko la waziri wa mambo ya nje wa hapa Tanzania, Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘Mtunis’  ameandika hii kwenye kukursa wake mtandaoni

"Haya jamani wale wenzangu na mimi ambao mumekaa muda mrefu huko SOUTH AFRICA na ukajikuta hata nauli ya kurudia NYUMBANI huna mbaya zaidi hata sababu ya kujitetea muda wote huo umekaa huko huna ulichokifanya mungu keshashua neema yake ni kiasi tu cha kwenda pale kwenye ile KAMBI YA...

 

9 years ago

Mwananchi

Kibarua kizito cha kukuza uchumi kwa Rais ajaye

Mengi yamezungumzwa juu ya hali ya uchumi wa Tanzania na mustakabali wake wakati huu wa kampeni.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Lungu ana ‘kibarua’ kutimiza ahadi lukuki alizotoa kwa Wazambia

Katika uchaguzi huo uliokuwa na ushindani mkali kutoka kwa mgombea wa chama cha upinzani, Hakainde Hichilema, Lungu aliapishwa huku wapinzani wakiamini kuna mchezo mchafu ulichezwa ili kumwingiza Ikulu, kwa kuwa aliwahi kufanya kazi kwa karibu na Rais Michael Satta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani