KWA VIGEZO HIVI WE SI KIBARUA NI MUAJIRIWA KISHERIA
Na Bashir Yakub MAKALA haya yataeleza tofauti kati ya kibarua na ajira ili isiwe unaitwa kibarua kumbe kisheria umeajiriwa na unastahili stahiki zote za kiajira.
Wako watu wengi wanafanya kazi lakini hawajui wanafanya kazi katika mwavuli upi yawezekana mtu akawa amefanya kazi miaka mingi lakini bado kazi anayofanya haitambuliki anaifanya kama nani.
Na mara nyingi hii hujitokeza katika kazi zile ambazo si za kitaaluma, Kazi ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies01 May
10 years ago
VijimamboMartin Kadinda Hivi Kweli Meneja Ndo Anatakiwa Awe Hivi Kwa Mteja Wake? Jisomee Alichoandika
![](http://3.bp.blogspot.com/-EWNLHhimkv4/VBwCYETog0I/AAAAAAAAhZg/oJRjJt-AWwg/s1600/manajee.jpg)
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Tanzanite ina kibarua kwa Sauzi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGjgPH8*8vlKXF45tsuSpCVp5Mjeqy*2Wh-5tCqfhHH40EV6M0c72INNMKE7*Fnphc2fnfh8MJDlzlNyg1dSE-5nZMb-xRPu/3.jpg?width=650)
KAJALA: NINA KIBARUA KIGUMU KWA PAULA
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
NAPE: Hakuna mgombea atakayepitishwa CCM kwa presha za makundi, ni kwa kukidhi vigezo vya kanuni na katiba za chama tu
NA BASHIR NKOROMO
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya magazeti ya Habari Corporation, na Mwananchi Communication Ltd, jijini Dar es Salaam, leo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, mfumo wa CCM katika kuwapata wagombea ni imara kiasi kwamba hautaweza kuathiriwa na presha za makundi wakati wa kuteua mgombea urais katika uchaguzi mkuu...
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Kibarua cha kuboresha elimu kwa Serikali ya Dk Magufuli
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Msiajiri kwa vigezo vya undugu-mkurugenzi
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Kibarua kizito cha kukuza uchumi kwa Rais ajaye
10 years ago
MichuziNEC KUGAWA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI KWA VIGEZO
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi Nchini(NEC),inatarajia kuchunguza mipaka ya Majimbo ya Uchaguzi na kuyagawa kwa ajili ya uchaguzi wa Wabunge unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam,Mwenyekiti wa NEC,Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakati alipokutana na viongozi wa Vyama vya Siasa kujadili masuala mbalimbali ya Tume katika kuelekea uchaguzi Mkuu.
Amesema ugawaji wa Majimbo,Tume imezingatia vigezo mbalimbali...