DIMPOZ NUSURA ASHUSHWE JUKWAANI
Stori: Richard Bukos Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ juzikati alipata wakati mgumu baada ya mademu kumvaa na kutaka kumporomosha jukwaani wakati wa shoo ya Nani kama Mama iliyofanyika katika Ukumbi wa Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Mashabiki wakimng'ang'ania msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ wakati wa shoo ya nani...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Jan
Kamati ya Bunge yataka Ofisa Utumishi Nkasi ashushwe cheo
KAMATI ndogo ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeitaka Wizara inayohusika na Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (Tamisemi) kumuondoa na kumshusha cheo Ofisa Utumishi wa Halmashauri ya Nkasi, Deogratias Mboya.
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
9 years ago
Mwananchi22 Sep
CCM: Ushindi jukwaani 30% tu
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Ashuka jukwaani baada ya miaka 53
9 years ago
GPLJUSTIN BIEBER AUMBUKA JUKWAANI
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Ni wakati wangu shoo za jukwaani
10 years ago
GPLY-TONY: KUPANDA JUKWAANI NA JENEZA NI UBUNIFU TU
11 years ago
GPLWASHIRIKI WA MISS TABATA 2014 JUKWAANI
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Mashabiki Simba wamfukuza Dokii jukwaani
MSANII wa muziki na filamu, Ummy Wenceslaus, maarufu kama Dokii juzi alipata wakati mgumu kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Azam baada ya kufukuzwa na mashabiki wa Simba kwenye jukwaa lao.
Dokii ambae ni miongoni mwa wasanii wa kike ambao ni mashabiki wakubwa wa mchezo wa soka, kabla ya kuanza kuishabikia Azam alikua shabiki wa Yanga.
Msanii huyo alifika Uwanjani hapo na mwenzake wakiwa na gitaa, walitaka kukaa upande wa mashabiki wa Simba ambao walimtaka ahame eneo...