Dinah Marious: Sina Ugomvi na Zamaradi Mtetema
Aliekuwa mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena kinachorushwa na redio Clouds FM, Dinah Marious mbali na kuelezea kile kinachoendelea kati yake na uongozi wa redio hiyo, Dinah ameweka wazi kuwa hana ugomvi wowote na mtangazaji mwenzie, Zamaradi Mtetema.
Dinah kupitia ukurasa wake mtandaoni alianza kwa kuelezea hali halisi kati yake na mwajiri wake.
"Katika haya maisha hamna kitu kibaya kama kumuonea na kumnyanyasa mtu ambaye hana hatia.Kwa kutumia cheo,madaraka,nguvu na nafasi uliyonayo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies16 May
Andiko Hili la Zamaradi Mtetema Lawagusa Wengi
MAISHA NI SAFARI na lazima WOTE tufike.. haijalishi kwa njia gani sababu kila mtu ana njia yake ya kupita ili kukamilisha safari hii.. kumbuka njia hazifanani sababu kila mtu ana MWISHO WAKE tofauti, hivyo katika hii safari unatakiwa kuwa makini na kuangalia NJIA YAKO TU na sio kuwa na wasiwasi na njia za wengine ama kujaribu kupita/Kuiga njia walizopita wengine..kufanya hivyo Hakutafanya ufike unapotakiwa kufika (kwako) ila utajikuta umefika kwa WENGINE ambako si kwako mwisho wa siku...
10 years ago
Bongo Movies20 May
Zamaradi Mtetema: Ukitaka Kuchukiwa Duniani we Kuwa Mkweli Tu…
Ukitaka kuchukiwa Duniani we KUWA MKWELI TU!!! kuwa mkweli kwa rafiki zako, kuwa mkweli kwa ndugu zako kuwa mkweli kwa wanaokuzunguka kuwa mkweli kwa jamii... mtu akikukosea mwambie kiroho safi, kitu kikikuuma ongea, kama kitu hujapenda ongea.. unaona shogaako akichemsha kitu mchane na kumuelekeza.. nk utachukiwa mpaka basi na utapewa maneno kama kimbelembele, mjuaji, mi sikipendi, ye ananjifanya hakosei... n.k
Na ukitaka kupendwa na kila mtu Duniani na wengi wawe wako we SNITCH TU.. njia...
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
VIJIMAMBO: Wema Atoa FACT 5 Za Ukweli Kuhusu Zamaradi Mtetema
Mara baada ya mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi cha maswala filamu nichini cha TAKE ONE, Zamaradi Mtetema kuweka bandiko mtandaoni, akiwatata mashabiki na wapenzi wake, wataje mambo matano ambayo niyaukweli kuhusu yeye Zamaradi kwa jinsi wanavyo muona na atatoa zawadi kwa yule atakae patia.
Bandiko lilisema;
"If someone managed kunitajia hata FACT 5 about me za ukweli kulingana na unavyoniona... nna zawadi yako kubwa and I AM SERIOUS.... Unahisi nikoje!!? only 5 facts then ntasema nani...
10 years ago
VijimamboDINA MARIOUS NA ZAMARADI MKETEMA WATUPIANA MANENO INSTAGRAM, KISA KIKO HAPA.
Katika Mtandao wa Instagram Dina Marious ameandika kwa kirefu kabisa kuhusu inshu hii, akiwa kama anamzungumzia Zamaradi, Dina ameandika “Leo nimeguswa kuongea na SNITCHES makazini na maofisini a.k.a boss little pet.Kuna siku kuna dada alinipigia simu nimshauri namna ya kuishi na mtu ambae wako karibu kazini lakini amekuwa akimsitch kazini anapeleka maneno ya umbea kwa...
9 years ago
Bongo515 Dec
Dina Marious kuja na TV Show ‘Maisha Class’
Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo cha EFM, Dina Marious anatarajia kuja na kipindi chake cha TV kiitwacho, ‘Maisha Class’ kitakachokuwa kikizungumzia mambo mbalimbali ya jamii.
Mtangazaji huyo wa zamani wa Clouds FM, ametoa taarifa hiyo kupitia Instagram:
Muda mrefu nimetamani kuwa na tv talk show lakini muda bado naona sasa wakati bado najiweka sawa tufanye hivi. Nimekuwa naandika sana hapa insta vitu mbali mbali vya kujengana na kukumbushana kuhusu maisha yetu ya kila siku.Haya ni...
11 years ago
GPLWOLPER, ZAMARADI...
10 years ago
GPLZAMARADI ANOGEWA NA KUZAA
10 years ago
GPLZAMARADI KUASILI MTOTO