Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diploma ya Uuguzi kwa Njia ya Masafa

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mkutano Mkuu wa Masafa wa ITU wakubaliana kupanga masafa ya kufuatilia Ndege Angani

ADS_B_System

Hivi ndivyo Dystem inavyofanya kazi.

Na Innocent Mungy, Geneva

Leo Jijini Geneva, Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa ITU wa Masafa umeamua na kukubaliana kutenga masafa maalumu kwa ajili ya kufuatilia ndege za abiria kokote zinapokuwa angani ili kuepusha majanga kama ya ya Malaysia iliyopotea na ambayo haijapatikana hadi leo. Uamuzi huu utakamilika mwaka 2017 ambapo mawasiliano na ndege zote za abiria zitakuwa zinajulikana zilipo.

Mkutano huu umekubaliana masafa ya bandi 1087.7-1092.3 MHz...

 

5 years ago

Michuzi

Usomaji kwa njia ya kidijitali : Vodacom Instant Schools njia sahihi ya elimu kwa vitendo

Usomaji kwa mfumo wa kidijitali haimaanishi kupitia simu yako ya mkononi, kishikwambi au kompyuta. Ina maana ya kujenga uwezo wa kujifunza kwa kuwaunganisha walimu au wanafunzi popote walipo. Ni njia sahihi ya kujifunza inayoleta maana halisi.

Wazo la usomaji kwa njia ya kidijitali linalenga kuongeza ufanisi na kuboresha mazingira ya usomaji kwa wahusika kutumia nyenzo za kisasa. Lengo siyo kuachana na mfumo wa mafunzo ya darasani bali kuuboresha kwa kuzingatia matumizi ya teknolojia.

Kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasiopenda kujifunza kwa njia rahisi, watajifunza kwa njia ngumu

NIMEMSIKIA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akisema kuwa katiba mpya haileti maendeleo hata ikija. Msingi wa hoja yake ni kuwa katiba mpya siyo mtatuzi wa matatizo...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YATOA SEMINA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UUGUZI MANYARA

  Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF mkoani Manyara Bw. Said Ismail akitoa mada kwa wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara. Moja ya jukumu la PSPF ni kutoa elimu juu ya PSPF na sekta nzima ya hifadhi ya jamii, PSPF inaendelea kutoa semina kwa vyuo mbalimbali nchini.Wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara. Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF mkoani Manyara Bw. Said Ismail, wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara.

 

9 years ago

Michuzi

UBORESHAJI WA USALAMA BARABARANI KWA USAFIRISHAJI WA MASAFA MAREFU

 Fuso ikipita Njiani kwenye Maonyesho ya "NDIO Fuso ni Faida" jijini Dar, Maonyesho hayo yanatarijiwa kupita kwenye Mikoa kama Tanga – Moshi- Arusha- Mwanza –Shinyanga -Kahama- Dodoma – Iringa – Mbeya  na Songea ambapo shughuli mbali mbali za uchimbaji wa madini, kilimo, ujenzi na usafirishaji wa mizigo zinafanyika Wadau wa Usafirashaji wakiwa katika Maonyesho ya 'Fuso ni faida' jijini Dar Wadau wakipata maelekezo ya Huduma ya 'Ndiyo Fuso ni Faida'
Na Mwandishi Wetu,Mtandao wa miundombinu...

 

10 years ago

Habarileo

Madereva wawili mabasi ya masafa wanaswa kwa ulevi

Makao Makuu Kitengo cha elimu kwa umma Usalama Barabarani, Abel Swai MADEREVA wawili wa mabasi ya masafa marefu wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Singida baada ya kugundulika kutumia pombe wakati wakiwa kazini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Taarifa kwa umma kuhusu muingiliano wa masafa EATV na ITV

tcra2

Taarifa Kwa Umma Muingliano Wa Masafa Final by moblog

 

9 years ago

Vijimambo

Diamond motors yaboresha usafiri wa masafa kwa matumizi ya Fuso.

Wiki ya nenda kwa usalama ni muhimu katika jitihada za kuboresha masuala ya usalama barabarani ikiwa ni jambo lililo na kipaumbele katika ajenda za kitaifa nchini Tanzania. Wiki hii inatoa misingi ya kufanya kazi kuelekea katika kufikia maono na matarajio ya mazingira salama na kuboresha usalama barabarani. Hivi karibuni mwenyekiti wa tume ya usalama barabarani bwana Elifadhili Mgonja wakati akiongea na waandishi wa habari katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama jijini Dar es ...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI 84 WA PROGRAMU MAALUMU YA DIPLOMA YA UALIMU UDOM MBARONI KWA TUHUMA ZA KUHAMASIHA MAANDAMANO MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini leo tarehe 14.01.2015 majira ya 05:30hrs.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – (SACP) ameeleza kuwa chanzo cha wananfunzi hao wa programu maalum ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani