Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA KESHO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA DISEMBA 15

Kalenda ya dirisha la usajili kwa vilabu vya Ligi Kuu (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL) lilofunguliwa Novemba 15, litafungwa Disemba 15 mwaka huu.Vilabu vinavyoshiriki ligi hizo zilizopo chini ya Shirikisho Mpira wa Miguu (TFF) vinaombwa kufanya usajili katika muda uliopangwa ili kuepukana na kuchelewa, na kufungwa kwa dirisha hilo.Usajili wa dirisha dogo ni kwa vilabu ambavyo havijajaza idadi ya wachezaji 30 katika usajili uliofanyika wakati wa dirisha kubwa la...

 

10 years ago

Habarileo

Dirisha la usajili kufungwa leo

PILIKAPILIKA za usajili kwa wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL), zinafikia tamati leo saa 6:00 usiku, imeelezwa. Msemaji wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto alisema kuwa TFF imezikumbusha klabu zote zinazoshiriki msimu mpya wa mwaka 2015/2016, kuhakikisha vinakamilisha usajili wa wachezaji wao kabla ya dirisha hilo la usajili kufungwa.

 

9 years ago

MillardAyo

Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …

Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man United na Tottenham Hotspurs vikiwania saini ya mchezaji wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Leicester City Riyad Mahrez. Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha […]

The post Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika … appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Dirisha la usajili lafugwa Tanzania

Usajili wa wachezaji nchini Tanzania msimu wa mwaka 2014/2015 umefugwa jana usiku.

 

10 years ago

BBCSwahili

Dirisha la Usajili lafungwa England

Dirisha la kimataifa la usajili limefungwa huku Man united wakiibuka kidedea kwa kumnyakua Radamel Falcao kwa paundi milioni 6

 

9 years ago

Mwananchi

Diego afunika usajili wa dirisha dogo

Dirisha dogo la usajili lilifungwa rasmi Jumanne usiku, huku wachezaji 32 wakithibitishwa kusajiliwa na timu 16 za Ligi Kuu, lakini aliyeibua gumzo ni kiungo mpya wa Yanga, Boubacar Issofou au Diego.

 

10 years ago

Mwananchi

Klabu zitumie vizuri dirisha dogo la usajili

Siku chache zijazo klabu 14 za Ligi Kuu pamoja na timu za madaraja mengine nchini zitaanza usajili mdogo kwa ajili ya kuziba nafasi zilizoonekana kuwa zina udhaifu wakati wa duru la kwanza la msimu huu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais wa Corinthians akanusha taarifa za Pato kuhamia Liverpool kwenye dirisha la usajili Januari

alexandrePato

Mchezaji wa Corinthians, Alexandre Pato.

roberto_andrade

Rais wa Corinthians, Robero de Andrade.

Na Rabbi Hume

Rais wa klabu ya Corinthians, Robero de Andrade amekanusha uvumi uliokuwa unatolewa na vyombo mbalimbali vya habari kuwa timu hiyo imefikia makubaliano ya awali na Liverpool kuhusu uhamisho wa mchezaji wao Pato.

Andrade amesema kuwa hakuna ofa yoyote ambayo timu hiyo tayari imepokea kutoka kwa Liverpool licha ya kuandikwa habari nyingi kuwa mchezaji wao Pato atahamia Liverpool katika dirisha dogo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani